Duu MINA umeongea kitu kikubwa sana kinachohusu Akili well done na asante kwa hili na nimelibeba sana
2026-09-17 16:11:17
6
Michelle & Dad 💜 :
Kwa kifupi James Allen kwenye kitabu chake cha as the man thinketh anasema "Mawazo yako hujenga tabia yako, tabia yako huumba maisha yako.”
Yaani, unachowaza mara kwa mara huathiri unavyokuwa na hatimaye maisha unayoishi.
2026-09-17 17:54:06
4
MICHAEL MSELLE 🤖 :
Tiktok algorithim yao ina shida nyingi
2026-09-17 17:23:48
1
itc _nova_ :
facts
2026-09-17 15:40:57
2
Joel :
meena ww ni bora
2026-09-17 16:43:15
2
sir kulwa :
nimekuwa sasa nikimsikiliza huyu binti
2026-09-17 19:59:21
2
jamsongodfrey15 :
nakubarii sister
2026-09-18 06:57:28
0
Joseph mponda :
sana Dada
2026-09-17 15:59:25
1
Savela Method :
Nmeipata hiyo dada angu mzuri penda san
2026-09-17 19:50:09
1
Wauzaji wa vitabu Tanzania :
Watu wa vitabu sogeeni tuko hapa
2026-09-17 17:46:04
1
Bety Samwel Lema :
nakupendaga bure wewe dada
2026-09-18 08:25:01
0
AA821 :
kati ya wanawake ninao wakubali kupita maelezo ni wew yan mungu akuweke aendelee kukupa ufaham zaidi👊👊
2026-09-17 19:22:46
1
NatureIsBeautiful💧🌌✨☀️🌙 :
Asante MinaAlly kwa kuniongezea maarifa bila ada ubarikiwe Sana dada 🙏 ❤️
2026-09-17 16:42:21
1
Dominican Erico :
sure
2026-09-18 03:35:46
0
Coach Nasir Networker :
Nakuelewa sana
2026-09-18 09:49:39
0
PAULO paulo :
dada mina msalimie kenede zerrrr
2026-09-18 10:40:56
0
book_heart888 :
Minah soma.vyote ila Book of black power
2026-09-18 10:41:43
0
Mr Thinker :
Critical thinking 🤔
2026-09-17 20:07:52
1
ALWYN EDDINGTON KISSASI :
kwa kweli kujenga ni kuumba
2026-09-18 09:32:35
0
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.