Zanzibar wenyewe ni Star na wazanzibari wenyewe ni master
2026-09-17 17:54:25
63
T.shop pointer :
Meena Ali mpemba .Mkojani,wasanii wengi pelelezeni hao mnas3ma wabongo kumbe wazanzibar
2026-09-18 05:39:27
11
user28172469218572 :
mwambie hata Goal la kwanza kufungwa uwanja wa taifa ni Abdi Kassim
2026-09-17 16:42:42
29
paccintoshi :
Tuko bize na maulidi ya star wetu kipindi hiki رسول الله صلالله عليه وسلم 🥰☪️
2026-09-19 14:59:58
10
semiutomatic5 :
One of the things I have learned from you, and which has impressed me greatly, is that when it comes to your patriotism, you stand firm like a shield, ready to defend your country against anyone who tries to tarnish or undermine it.
I have seen that you are not someone who attacks other countries or mocks other people’s nationalities, yet you also know how to defend your own nation with dignity.
Indeed, only a few young people possess the kind of patriotism that you have🥳🥳
2026-09-19 08:52:27
6
Thewhite White :
zanzibar kulikuwa na star hajawahi kutokeya bongo hadi leo na hatotokea 😊
2026-09-19 07:48:58
5
Embimbitchye :
Zanzibar ni maarufu kuliko hata trump
2026-09-17 15:53:11
26
Ray&nawal :
salama Jabir, issa mussa, minna Ali, khadija kopa, zuchu hemed suleiman na wengi wapo ni wazanzibar
2026-09-18 13:00:50
16
mwanamke shupavu :
sisi tupo gulf lakn hawaijui tanzania
wanaijuwa zanzibar 😘
sisi ni mastar wa kuzaliwa mungu katubariki tayr
2026-09-18 05:38:58
14
youseif :
bi kidude mmoja tu ametosha alitosha na ataendelea kutosha man hakuna msanii yoyote mwengine Hadi Leo anae weza kuwatumbwiza wafalme na Alie weza kuchukua tunzo Alie ichukua bi kidude
2026-09-24 18:08:46
6
user6391471498010 :
☺️🤣Hkuna mastaaa lkn wnamiminika km mvua kuja kuomb omb nakujiuza hawakai kwao kwenye mastaa
2026-09-17 19:57:05
22
silvia_academy1 :
Ukitaka kuijua Zanzibar safiri
2026-09-18 06:33:02
5
Asha Khamisi :
Staaa wetu mtume Muhammad s.a.w na blog yetu ni Quran
2026-09-19 12:19:31
33
Habiba Sabour :
LONG LIFE BRO
2026-09-18 08:01:32
8
Samiu Ameir :
tatizo znz hatutaki shobo ss wenyewe ni master
2026-09-18 04:50:49
12
Nurdin mohd iniesta :
Sfaar wetu Mtume
2026-09-18 06:18:44
8
Aly Timngwe :
wazanzibar wenyewe tunaish kistar na
wazanzibar hatuna shobo
2026-09-19 23:02:29
5
sulley :
Umeongea point sana mzee wangu … sauti imewafikia. Zanzibar yenyewe tu ni star ⭐️na inajitambulisha yenyewe
2026-09-18 04:05:30
8
fii :
Waengezee na coach wa timu ya taifa Molocco ni wa wapi,
2026-09-17 18:17:07
7
MISSZANZIBAR😍 :
Baadh ya ndugu zetu wanachukia sn znz na ndo ipo
2026-09-17 18:35:57
11
SH ,2000 :
wagen weng wanaijua Zanzibar kuliko bar mm nilichukua wagen niliwquliz mlifik Lin Tanzania wakanijib Tanzania!ndio wap sis hatupajui tunafahm Zanzibar
2026-09-17 16:07:04
15
Zan_Perfume 🌸 :
asnt kwa majibu yako yenye kufunza kwa mwenye kutaka kujifunza 🥰
2026-09-17 19:33:37
6
AL MAHDI :
zanzibar hakuna star 🌟
2026-09-17 19:32:07
5
To see more videos from user @elim.mitaani.com, please go to the Tikwm
homepage.