Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-17 18:13:14
1
🌟light01 :
Hio n njia ya uongo
2026-09-17 17:00:39
1
deedavid :
mbn simu ya kwanza na ya mwisho zipo tofauti
2026-09-17 19:21:15
1
NewWorld....🌎🔐 :
darasa huru
2026-09-17 16:40:44
2
NO LOVE NO PAIN :
kaka wee ni mnoma kaka
2026-09-17 16:18:15
1
🤟~Dinno_kizzy🏆👑✨ :
Adi kwenye iphone??
2026-09-17 17:04:25
1
nduwayoonesphore+257 :
uongo
2026-09-17 18:22:05
0
🔥Blade🔥 :
na wa pattern
2026-09-17 19:54:53
0
komando45💪🦾🤝 :
mnafundisha vibaka
2026-09-17 20:59:52
0
Kaisarry Sultan :
wambie mpka data iwepo wazi ndio inaweza kufunguka
2026-09-17 20:16:12
0
Dr. Loly :
but cm uliyosahau pasword ci lazima iwe na data? na je kuna cm huwa huwez washa data ikiwa locked screen nafnyaj
2026-09-17 18:03:10
0
Itz-Junior🤞💪 :
kaka simu yangu yasema device locked nafanyaje ili kuifunguwa
2026-09-17 19:31:31
0
baby girl❤❤ :
Naomba unisaidie kumhak sm na call zake zote nizipate nifanyaje
2026-09-17 20:15:16
0
Gsm phones service tech. :
😭😭😭😭kusingeletwa tool za frp 😂
2026-09-17 19:02:10
0
Danny BD Iyaan Tz 🇨🇩🇹🇿🇦🇪 :
vipi na pixel 4xl
2026-09-17 17:17:25
0
Mohammad Ibrahim :
😂😂 Yani una-create password mpya ukiwa umesahau ya mwanzo?
2026-09-17 17:16:03
0
Prince Layzer :
oooh 🙉🙉
2026-09-17 17:38:42
0
Angel Raphael :
jaman unafundisha Leo nimetoka kutoa sh15000 kwa fundi nilisahau pattern akanifrashia😭😭
2026-09-18 00:00:08
0
Prince Layzer :
daaah nakukelew wew dangers
2026-09-17 17:39:13
0
Baraka Mwasi :
sijaamini hiyo option ni kwa ajili yq google account sio screen lock
2026-09-17 18:56:43
0
Man P Classic :
Hii nimewahi itumia, kwa simu iliokuwa imeibwa, niliingiza email na password ikasoma, yaani mtu aliiba then akashindwa namna ya kuizima, Sasa hapo nikabadilisha password na then kuna kamtego kanakwepo kwenye screen yake kule aki click anakua amenipigia so ikawa rahisi sana kumkamata😁
2026-09-17 18:40:28
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.