@kichungu11:

kichungu
kichungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 15:46:06 GMT
129981
7386
157
581

Music

Download

Comments

user4667458330843
miss Fetty 💕 :
yaani apo maana ake sio kwamba NIMESHINDWA kutoroka nivile nawaheshim tu
2026-09-18 06:33:30
115
mamajay.....26
Mama Jay :
waaaaaaah 😅😂😂😂
2026-09-18 09:23:01
0
user3701067859880
Mrs chitute :
kamwaminishia 2 soja kwamba naweza ktoka 2 humu lakin sitak
2026-09-18 06:00:34
38
evanna_199
Mamavinjunga_business point :
Hapo anasema tumeamua tu kubaki sio kwamba hatuwezi kutoroka😄😄😄😄😄
2026-09-18 08:29:02
35
usermbuba4
usersophy Patrick :
erick hajaiona hii🤣🤣🤣
2026-09-18 08:10:50
9
user7253613188010
user7253613188010777 :
Mwizi ni mwizi tu msishangae
2026-09-17 20:09:10
28
user9165335214775
Happy Kissa :
ndo Raha ya kuwa mwembwmba[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 08:34:53
0
kimanisaruni
KIMANI 255 :
Wahenga waje na hukuu sasa
2026-09-18 06:03:28
14
boniphas.d.uyoa.d
Boniphas D Uyoa Dinu :
sema hawezi kumwacha msela wake atahakikisha wanatoroka wote
2026-09-18 11:17:10
6
finadanielfinadan
lady fina :
😁😁😁😁😁jamani afande kwani yy mwenyewe anasemaje 😁😁😁😁
2026-09-18 05:41:34
7
karembo.keys
Karembo keys🔑 :
hes happy to be there🤣
2026-09-18 08:53:30
0
kizz.joe8
Kizz Joe :
nasoma comments 😁😂
2026-09-18 07:32:05
1
pendo._mvungi
Pendo _mvungi :
😅😅😅mwepesi balaa
2026-09-18 04:40:32
6
user3801657873230
irene cute :
najua aiwahus ila leo nimedondosha ela elfu 50 roh inaniuma
2026-09-18 11:49:23
2
faridaahmad617
Farida Ahmad :
Jamani mwenzenu sijacheka nimejikuta machozi ndio yanatoka sijuwi kwann nashindwa kuueeleewa😂
2026-09-18 07:31:48
6
jamesathanazi
jamesathanazi :
hata mm nisingemzuia maana sio rahisi kiivo[Tears of joy]
2026-09-18 11:45:47
1
user46794042716242
nasra mapato🥳🥳🥳🥳🥳🥳 :
yaani hapo ni naweza kutoka ila huko injee njaa ni kali🤣🤣🤣
2026-09-18 08:09:11
7
user24544671
Beny Benassy :
Big time
2026-09-18 05:42:05
1
jimmy.peya
Jimmy Peya :
mmenikumbusha enzi za uhai wangu wakuuuu 😄😄
2026-09-18 11:24:49
0
rizikiomar797
rizikiomar797 :
hii ndio maana ya nakuheshimu lakini sikuogopi🤣🤣🤣
2026-09-18 11:08:31
2
nasrahsharba
NANAH DESIGNER :
nilikuwa nahuzuni lakin nimejikuta nacheka😅😅
2026-09-18 09:12:19
0
mwetajr4
@mwetacaisar15 :
Tunaheshimu sheria tuu🥱😂😂😂
2026-09-18 09:34:57
1
aisha.cute03
aisha cute❤ :
yani apo wasipokuw makini ipo siku atatoroka
2026-09-18 07:15:03
2
user5136052530871
ISIHAM @15 :
màana yake hata nikitaka kurudi kwangu ni swala la muda 2, ni vile sijawamiss bado
2026-09-18 09:17:43
2
abel.kim7
Abel Kim :
mm mwenyewe soja alafu huyu mwanangu sana
2026-09-18 06:51:53
2
To see more videos from user @kichungu11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About