@akadir_tz: Kumbukumbu za Mtandaoni ni safari ya kurejea matukio yaliyowahi kutikisa historia kupitia picha, video na machapisho yaliyohifadhiwa mtandaoni. Lengo ni kuhifadhi historia, kujifunza yaliyopita na kuyapa uhai kumbukumbu ambazo muda haujaweza kuyafuta. 🎥 Tazama simulizi kamili kwenye video. #KumbukumbuZaMtandaoni #AKADIR #fyp #creatorsearchinsights #createsightinsight
Akadir_ the voice
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 15:48:50 GMT
Music
Download
Comments
HighStories™ :
Damn! Crispy clear Audio
Brilliant script, chef's kiss
2026-09-17 17:30:11
0
Stevemelodiaz :
sio mufesa ni mutessa
2026-09-18 07:59:55
1
user9549517826923 :
Nice brother 👍
2026-09-18 05:41:40
0
mtoboa 26 :
na hatutawahi kupata namba 9 mwingine
2026-09-18 05:54:03
4
IRVING FISHER :
Empire🔥🔥🔥
2026-09-17 16:40:28
0
Hans njira :
mm ndio Leo najua kuwa mafisango alikuwa sio mtanzania
2026-09-18 07:12:33
5
Cauthal ♡ :
2012 hapo dah taarifa ilishtua hii 🙌
2026-09-18 13:41:20
1
realwahid :
r.i.p fundi wa mpira aiseee yanga africa wanamjua huyu mja wa mungu
2026-09-18 09:28:24
2
Bgjour True Talker :
maskini
2026-09-18 09:52:59
0
ulale salama shujaa wetu mafisango
2026-09-18 06:31:40
0
Sikudhani Minga :
daaa huyuuu jamaaa alikua hatari
2026-09-18 04:57:28
0
Nedrick Tarimo :
RIP
2026-09-18 06:28:04
0
Linje Tz :
R i p mwamba
2026-09-18 08:53:25
0
Ȋ̈ȃ̈m̑̈s̑̈h̑̈ȃ̈ȓ̈m̑̈y̑̈l̑̈ȇ̈ȓ̈ :
Kinshasa na sio kinsasha
2026-09-17 19:45:16
0
Sophia tz :
mungu uyu
2026-09-18 04:13:14
0
Jafali Juma :
duh
2026-09-18 14:39:43
0
Abdul@ :
akumbukwe
2026-09-18 10:13:07
0
SWALI KABLA HUJA SWALIWA :
EMPIRE 🥰🥰🥰🥰
2026-09-18 13:07:45
0
TARIK :
mimi nilikuwa namsikia kwenye nyimbo ya simba kuna kipande kinasema "mafisango amekufa mola ndo amepanga naipenda simba mshabiki wa damu
2026-09-18 15:08:26
0
Flora Lukas :
Rip
2026-09-18 17:09:29
0
mama muddy :
alale salama maphisango
2026-09-18 05:43:05
0
putin @gmail.com :
mamvb
2026-09-18 03:29:04
1
Scorpion 🦂 soldier :
hajawahi kutokea tena kiungo kama huyu hapa bongo au kwenye ligi yetu
2026-09-18 17:13:45
0
Musa juma :
mafisango
2026-09-18 09:34:36
0
To see more videos from user @akadir_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.