wenye hawaelewi babake anamtoa kwa ndoa arudi shule
2026-09-18 07:18:23
832
🦋 omwana mariah❤️🦋 :
Tulisema video bila caption tuma kwa WhatsApp family group
2026-09-18 06:03:02
180
Lizzie😘 :
I think the dad wants the best for her 🥺
2026-09-18 02:41:13
920
little bear :
I think she is forced kurudi home baada ya kukatazwa marriage
2026-09-18 04:38:40
331
Mum Neville🥰♥️ :
this was me back in 2014 when I was madly in love with a boda guy😅😅😅😅I thank my dad Kwa kunitoa huko,akatupeleka police station,,tuliekelewa nyaunyo ka 100 hivi 😂😂tukafagia compound ya Police station,tukapaguza nyumba zote huko,tukajaza drams na maji Kila kona🤣🤣🤣kutoka hyo siku 🤣🤣🤣 nilikua naona mwanaume 😅😅naingia Kwa miwa
2026-09-18 05:29:24
240
Nairrah :
They are saving her from alot ,,she doesn't know it yet but later in future she will understand
2026-09-18 08:38:07
200
Adhaya_0706080853 :
Atasoma by force by fire😭😭😂
2026-09-18 08:55:57
25
lzgitahi :
kanajua vile mateso ni Mingi kwa akina ndoa? especially when hauna pesa. weeee
2026-09-18 05:26:09
69
Uniquegal :
long live 4 the her Dad🥺
2026-09-18 06:52:34
68
Dhemz :
kindly leaders wàkó wapi wamurescue please
2026-09-18 06:47:33
6
Wanjiru💞 :
Kuna mwenye anataka kusoma na baba hataki kumsomesha na Kuna uyu baba ako willing but hataki kusoma ,
life has no balance
2026-09-18 03:21:34
97
Omonyagitari :
Congratulations wazee for Rescuing the girl
2026-09-18 03:23:31
7
bram ngoya :
pia mm nilikua hivi wakaniua
2026-09-18 07:23:52
7
Sally 🍎 :
aki waluhya 🥹 na ndoa 😂😂
2026-09-18 11:34:46
5
Austiee💘💘 :
mm nae nakubalii tuu alf nkifikaa nanyongaa mtuu usiku 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-18 05:55:07
8
Naomi Nanjala :
father's love
2026-09-18 05:07:36
1
_iam.gift✨️💓🤭❗️ :
wenye hawaelewi French 😂 huyu alitoroka nyumbani akaenda kwa kina ndoa ukiskiza vizuri the dad anasema ni yeye anafanya wakiumia ati she has made him suffer na anamrudisha shule apende asipende
2026-09-18 07:05:57
239
♡☻ƦEGλ₦ M₸ØXł₡˚♡ :
hawaa watuu wanafaa kuwaa i prison......isn't fair at all
2026-09-18 02:31:32
13
lasty ka mum :
aki uyo baba ako na machungu😭🥹🥹
2026-09-18 03:55:00
84
SWEETMUMMY💋 :
this is my dady nikiwa form2 mm nilipelekwa police😒😒 I wish I understood his advice niachane wanaume nisome though I did form4 but Daddy am sorry it costed me alot till now am regreating alot😭😭😭
2026-09-18 07:09:20
37
Cheptoo💍❤ :
pia mm nilikua nasumbuanga hivo lakini waliniuwa na babangu
2026-09-18 07:20:28
15
Jaccy mwexh :
mosiriaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-09-18 05:08:08
7
Emily Momanyi :
mosiria please do something please justice for her
2026-09-18 08:07:44
22
To see more videos from user @silviamuyekho0, please go to the Tikwm
homepage.