@millardayo_: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Shafii Rashid (23), Mganga wa kienyeji na Mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumbaka Mwanamke mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni Mteja wake. Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo linadaiwa kutokea Septemba 14, 2026 nyumbani kwa Mwanamke huyo, Kata ya Ziwani baada ya Mtuhumiwa kudaiwa kumlaghai kuwa anampaka dawa ambayo ingesaidia kutatua changamoto inayomsumbua Mtoto wake. Polisi imesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na utakapokamilika, Mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 15:55:57 GMT
63808
1863
346
1138

Music

Download

Comments

ch1k0666
CH1K0666 :
p0stini picha
2026-09-17 15:58:52
77
betiah08
Therealbethy🥰💕😉 :
wangapi tunangalia saa mbili usiku na wifi ya bure 😁😁😁
2026-09-17 17:27:36
97
auspicious493
Auspicious :
me nilinusirika pia tabora🤣🤣🙌nimekoma
2026-09-17 17:40:04
8
aquariusman84
Emma. wimbi :
mteja usikute ni softena[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 17:48:03
1
evelius75
BA G :
dha broo mil umenifany nichek
2026-09-17 16:04:00
24
cutie_pie7891
cutie_ pie🥮 :
Millad can u say hi to me pls😫
2026-09-17 18:00:29
2
arrgleychitalu
arrgleychitalu :
heheeeeeeee heeee hee he
2026-09-17 19:41:35
0
janney3738
Janney💞 :
wacha weeee
2026-09-17 18:44:59
0
elishalilydream
Elisha🥷 :
Hii haina comeback
2026-09-17 16:22:10
0
willsonolotu
uncle willz :
Nimecheka kam mazuri daaah
2026-09-17 16:45:01
10
sabyl_120
🌹sabryn :
nimecheka mpaka nimekufa😂
2026-09-17 17:05:46
6
princesstushabe86
Tusher :
Aisee saiv naenda kwa mganga na security 🥺
2026-09-17 18:09:10
3
magicalfootball2525
MAGICAL FOOTBALL MOMENTS! :
Im proud to be shafii rashid
2026-09-17 17:23:16
0
bts765702027
$bts :
sasa Millard Kwa nini hujaweka ilê sauti ya " oho God have mercy up on us"😂😂😁😁
2026-09-17 17:51:54
5
miss.minah0
Da-Minah🌸 :
Mbavu zangu jamani😂😂🙌
2026-09-17 17:44:08
2
janethsamwel2875
Best Ladyy😇 :
kwani muhanga anasemaje kwanza kabla ya yote
2026-09-17 17:23:07
3
h.boy536
h boy536 :
sasa mtu asiingize dawa ishakua kosa
2026-09-17 19:42:59
1
mangoma.girl
Mangoma girl :
🤣🤣🤣🙌🙌 lkn mganga nayy anahisia jmn
2026-09-17 19:04:34
0
madline_josephat
madlinejosephat :
😂😂😂
2026-09-17 17:36:36
0
mrs.imma05
vai ❤️ :
Nikikumbuka kuna rafiki yangu na yeye aliwekewa dawa kwa njia hiyo me hoi😂😂😂
2026-09-17 18:21:24
1
purple_real1
purple_real og💜 :
2026-09-17 17:20:02
1
omarykiangiotz
omarykiangioTZ :
2026-09-17 17:16:03
1
somebody_kirito
CallMe_Søme_bødy🎭 :
kesi ishukuwa ngumu[Tears of joy]
2026-09-17 17:52:46
0
kilianally421
Kilian :
mteja yup wap nkamuone
2026-09-17 18:32:46
1
oscarvenace
venacefinest :
alikumbuk kinga
2026-09-17 16:00:20
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About