@dw_kiswahili: Jamii nyingi barani Afrika zinajiandaa kwa msimu mwingine mgumu wa hali ya hewa. Nchini Tanzania, kuna hatari ya mafuriko kuongezeka. Huko Niger, mvua zinaweza kunyesha kwa kiwango kisichotabirika na Afrika Kusini, kuna hofu ya ukame na upungufu wa maji. #DWTunavuma #vumakwakishindo #elniño #climatechange