@mussa.justin6: ukihitaji kujifunza laivu au online nitafute WhatsApp kwanamba hii 0687705075 - "Kushona ni kuweka ndoto zako kwenye nguo." - "Kila kipande cha nguo kina hadithi ya mtu, jifunze kuisoma na kuandika hadithi mpya." - "Ushoni ni kujieleza, ni kujitambua, ni kujifunza."