wisubu de camp :
yaan nimesoma coment za wengi hapa nimeona watu wengi wanapenda kufarijiwa ila hawataka kukubaliana na uhalisia na kujua nini cha kufanya, kwanza nimeona wengi hamsikilizi vyombo vya habari vikubwa na mamlaka kubwa za hali ya hewa , mwaka jana katibu wa umoja wa mataifa alisema kuanzia 2025 mpka 2030 dunia itakumbwa na mabadiliko ya hali ya hewa kila nchi haijalishi yatakufikia au lah! inatakiwa kuchukua tahazari mapema saana , haya mapka sassa majanga yamelipotiwa mangapi, jana tu kenya imenyesha mafuriko, spain kule mafiriko ,macka mafiriko, mara indonesia volicano, japani tetemeko mara moto nchi za ulaya uliwaka , nepal mafiriko, haya ww ni nani ambae unasema hakipo ili hali umeambiwa chukua tahazari lolote la weza tokea , hata serikali wenyewe hawajakwambia kwamba ipo but wametoa tahazari kama alivyo sema katibu wa umoja wa mataifa kulingana na mwenendo wa majanga asili hapa duniani , haya ushasema unaamiin au mm ndo sjui maana ya kuamin? kama unaamini mungu yupo na humuoni ila unasema bola uamini yupo kuliko kusema hayupo alafu ukamkuta, haya unashindwa nini kaumin mvua ipo ukachukua tahazari hata usipo kuja hamna shida nashindwa kuelewa nyie wafia dini
2026-09-18 12:59:34