@sokonidar: Mali safi kabisa, kitunguu waumu ya kienyeji hii Jirani, aroma balaaa, unapika hapa mtaa wa kumi wanaipata habari😄 Ipo ya kutosha, mfanyabiashara karibu sokoni upate hii, mkulima lete wanunuzi wapo wengi #kilimobiashara #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #zanzibartiktok