@ramsey_dpz: KWANINI ABIRIA WENGI TUNAPENDA KUSAFIRI ZA USIKU? Kuna Siri Gani #fypシ #trending #fypシ゚viral #fyp

Ramsey Dpz 🍺
Ramsey Dpz 🍺
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:12:25 GMT
131738
4131
433
60

Music

Download

Comments

mashkul
Mash kuL :
how do you meet darkness when your moving towards the sun
2026-10-01 09:40:01
1
user1090311469476
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 20:26:05
26
john.wherever
John Wherever :
kasoro mimi sipendi safari za usiku kabisaa
2026-09-17 18:45:39
57
haji._makuku
HAJI _MAKUKU 🇹🇿 :
ukifika nyumbani unakutana na chai😂😂
2026-09-17 18:17:42
63
soweto929boy
BAFANAog :
hasa safar za usku ndio nzur kama mm ninaependa kukaa upande wa dirishan nakuwa na hesabu mizuka
2026-09-17 18:55:25
123
richeee10
Rachel marcko ❤️❤️ :
Roho yngu huwa namkabidhi dereva nakuwa nmelala yy ndio ataamua niende wap😅😅😅😅😅😅😂
2026-09-18 11:11:39
56
user82268089797738
🌷PHINER🌷 :
Kwanza husikii njaa sio kama mchana utatamani kila kitu😅😅😅
2026-09-17 19:18:09
47
bata.boy07
Bata Boy 💪 :
Kama mimi mara Nyingi nasafirigi siti moja na wadada , huwa wananilaliaga kifuani naenjoyg saanaa , Safari za usiku zizidi 😂
2026-09-18 11:48:09
21
ctaboy123
♨️Ctaboy♨️@123❤️ :
ni nzur ukiwa na mwenza 🥰🥰🥰
2026-09-17 18:57:44
12
mankaa838
witnessjonas230 :
safari za usiku ni nzuri ila najua kutapika jaman uwiii maana sipatanagi na AC
2026-09-18 07:17:05
22
user6870910565949
Anna mussa💞 :
situmii hata mia njian
2026-09-18 15:23:33
13
lastbo114
Last born ❤️🩷🥀🌺 :
Nafika nyumbani asubuhi nawasalimia jioni Narudi dar😂😂
2026-09-18 06:24:29
12
mariavsdqjk
miracle :
Kuna mtu kasema safar za usiku ni nzur maana ukilala ni either uamke upo stand umefika au mbinguni
2026-09-18 09:35:36
9
jimmymacha1
JIMMY MACHA :
mimi napend kwa sababu inakuw ni safari tuliv san ila naigop maan du
2026-09-17 19:30:27
8
user7opretty
Pretty Angel :
Toka nianze kusafiri usiku huwezi nishauri nisafiri mchna
2026-09-17 22:25:13
5
winnerzuber
win's sweet bites :
bajeti ya kulakula ovyo😂
2026-09-17 18:32:24
11
mr.dragon.buses
MR.DRAGON🐉 :
Wengi ni kwa sababu ya Ukimya na Hakuna makelele na inakuwa kama upo katikati ya Misitu peke ako mahari ambapo hakuna wanyama wa kukukosesha Amani, Basi ni Raha sana 🫡🫡🫡😎🤏
2026-09-17 17:36:09
14
emma63939733
Emmanuel :
Deleva huwa makin sana uck ndomaana wengi wanapenda uck ndo wasafil
2026-09-18 05:09:05
9
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
hazina stress wa KUTAKA kuwahi KUFIKA, unajua wazi tu kukikucha nmefika
2026-09-18 06:20:44
8
hawamokka
@Binti Mokka :
kwa sababu unalala alafu Ukiamka unakuta kushapambazuka na umefika
2026-09-17 21:23:41
11
lucas0410doublel
#double L :
😅😅😅 me naamin huchoki usiku kwanz utasinzia unaamka upo mbal sana kingne bhana kunakuwa tuliv sana
2026-09-18 06:11:37
11
salome72223
Sally's 💙💦 :
Huyu ni mimi ila sasa familia nzima hailali wakati huo me nakoroma kwenye gari na baadhi ya simu zao sipokei Mungu nitunzie Mama angu 🥰
2026-09-18 05:35:15
5
rehema.mohammed341
mumy🥰😍😍😍tany :
tunasomea uchawi
2026-09-18 16:36:04
3
njauutz
njauutz :
hio uzuri wake ukae na kasichana karembo pembeni unaweza ukajihisi huyo ndio mkeo
2026-09-18 15:05:19
2
hon.ken.dado.nyabo
Hon ken dado nyabola :
ndio nikifika asubuhu nifanye shughuli ilionileta then jioni nirudi tena
2026-09-26 01:48:51
2
To see more videos from user @ramsey_dpz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About