tunafanyaje apo sheikh mana ukisema wanakujibu upendi maisha yangu
2026-09-18 09:05:23
2
NANA juice :
Ya Allah tujalie wanawake wote ambao hatujaolewa tupate waume wenye uvumilivu na wakulizika na kipato wanacho pata ili utuepushe na mitihani ya dunia kama ii
2026-09-18 08:00:14
5
Mansur_Mabhai_China :
Mzazi anamruhusu bint yake kwenda Gulf..!
Hivi bint ndo wakumuagiza kwenda kutafuta kwaajili ya familia kweli..! 😥
Hili jambo linaniuma sana
2026-09-19 03:41:14
1
mjane wa ndoa :
yapo lakini mwenye kufanya kazi anathamani zama hizi kuliko wakukaa nyumbani....wanavyongeleshwa na kuchatishwa na maboss zao na emoji zote .....
2026-09-19 09:13:22
0
Katika Iman🕋 :
Tunamuomba Allah atufanyie wepesi wa riziki sisi wanaume ili wake zetu watulie nyumban
2026-09-19 07:24:13
0
Khalfan Masoud :
Sheikh kasema kweli, yapo tunayaona.
2026-09-18 08:49:43
1
leylatotty :
maaahalalh😂😂
2026-09-18 11:46:10
2
Ali said :
ni imani ya mtu tu
2026-09-18 07:21:48
1
Official maybe🤔🤪 :
yapohayo shehe😳
2026-09-18 07:22:19
2
@sango_midundo :
mashaallah
2026-09-18 16:53:38
1
NAAH :
duuh
2026-09-18 08:06:29
1
leylatotty :
kabisaaaa🌹🌹
2026-09-18 11:46:15
2
hadijanaleyeosman :
kwa hiyo wasifanye kazii wanaume wenyewe
2026-09-18 11:00:15
1
Halima Ahmed :
💯
2026-09-18 08:27:54
2
Raji Malik. :
❤️❤️❤️
2026-09-18 03:05:59
2
To see more videos from user @sheikh_luqmantz, please go to the Tikwm
homepage.