@nuru_podcast: KIRABU اللَّهُمَّ إِنْ كَانَ فِي هَذَا الْأَمْرِ خَيْرٌ لِي فِي دِينِي وَدُنْيَايَ وَعَاقِبَةِ أَمْرِي، فَقَرِّبْ بَيْنَ قُلُوبِنَا بِالْمَوَدَّةِ وَالرَّحْمَةِ. اللَّهُمَّ يَسِّرْ لَنَا أَمْرَ الزَّوَاجِ، وَافْتَحْ لَنَا أَبْوَابَ الْحَلَالِ، وَأَزِلْ عَنَّا كُلَّ عَقَبَةٍ تَمْنَعُ اجْتِمَاعَنَا فِي الْحَلَالِ. وَإِنْ كَانَ فِي زَوَاجِنَا خَيْرٌ فَثَبِّتْ قَلْبَهُ وَقَلْبِي عَلَى الْخَيْرِ، وَاجْعَلْ بَيْنَنَا الصِّدْقَ وَالْوَفَاءَ. وَاجْعَلْ خِطْبَتَنَا مُنْتَهِيَةً إِلَى زَوَاجٍ مُبَارَكٍ، وَبَيْتٍ تَسْكُنُ فِيهِ الْمَوَدَّةُ وَالرَّحْمَةُ. Kiswahili: Ee Allah, ikiwa jambo hili lina kheri kwangu katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa mambo yangu, basi ziunganishe nyoyo zetu kwa mapenzi na huruma. Ee Allah, turahisishie jambo la ndoa, tufungulie milango ya halali, na utuondolee kila kizuizi kinachotuzuia kukutana katika halali. Ikiwa ndoa yetu ina kheri, thibitisha moyo wake na moyo wangu juu ya kheri, na weka baina yetu ukweli na uaminifu. Na ifanye hatua yetu ya uchumba ifikie ndoa yenye baraka na nyumba yenye mapenzi na huruma. #DUA

NURU PODCAST
NURU PODCAST
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:16:00 GMT
58657
11199
605
591

Music

Download

Comments

yogirlmunny._
Galby muuh🦋 :
Nilikua naitafuta sana hiii dua wallah😁
2026-09-18 06:14:36
58
goldenboy130495
MR A :
aamini nipate w kumuoa mwez w 12 mwaka huu
2026-09-18 05:08:09
27
halimakambi992
Ramuziy kalu :
amini amin amin amini amin amini amin amini
2026-09-18 06:55:19
7
aiem.far.com
Aiem far🦋✅ :
Nipe hitaji la moyo wang allah🤲🙏
2026-09-17 22:14:15
21
mama.generali
fæĥïmå :
amiin yarraby nipate mwenza mwema mwenye hofu ya Allah na mwenye mapenzi ya dhati kwangu..
2026-09-18 06:51:35
16
binti.omar7
binti omar :
Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin inshallah
2026-09-17 19:20:33
1
rehema.charles35
""@Miss..and Mr...isack👑👑 :
amiin sheikh ya allah niimarishie mahusiano yang mpaka ikae ndoa jaman amiin amii
2026-09-17 19:25:46
17
sam439391
sam :
amiin ameen ameen ameeen ameen ameen ameen ameen ameen ameen
2026-09-17 19:04:50
5
munira.mkwanda
Munira Mkwanda :
ameen yarabby allah meen🤲
2026-09-17 18:59:46
15
mamraj608
مريم🦋🥰 :
ameen yarabbal a'alamin🤲... yaa rabby nataman sana ndoa nijaalie mweny kher na mapenz na mm yaa rabby
2026-09-17 22:47:00
10
fetty9886
Fetty😍😋😋 :
amini amini amini
2026-09-17 18:56:12
3
salmakinyonga
Salma Kinyonga :
amini inshallah 🙏 ❤️
2026-09-17 20:46:37
2
shery42698
sherry💞💕 :
aaaamiiiiin tunasubir rabby mwisho tutachoka, kwa maana nasi tuna mioyo ya nyama na mapunguf, ila ia ila yaa ALLAH nijaalie nizid kusubir muumba wang niipate salama , amani moyoni na pepo yako kwa kheri
2026-09-18 01:19:08
9
mwasumbe
maryam :
amin amin
2026-09-17 18:32:36
2
cuteekauthar8
Am Catrina ❤️ :
Amin Amin inshaallah 🙏🤲
2026-09-18 07:18:29
2
ashmy_6
ashmy_🫂💞 :
Allahhumma amiin
2026-09-17 20:28:43
2
awenahamad51
anem :
amin
2026-09-18 06:45:15
2
namlaty
asha cute 🥰 :
amin
2026-09-17 18:53:42
3
h3rs3lf.01
Fifi🤎🐻 :
Amiin 🤲🥺❤️
2026-09-17 16:32:25
2
tuma.bby24
Tuma bby🌹🥰🌸 :
Ya rabbi taqabal dua🤲🏻
2026-09-17 19:19:26
2
mrsmwanya6
Mr's mwanya :
Amiin yarab 😢🙏
2026-09-17 17:18:02
3
weyna52
✨️weyna🎀 :
2026-09-17 18:58:12
2
rey.hemed
Rey hemed :
Allahumma amiin yaraby 🤲🤲
2026-09-17 19:09:20
2
rahma12519
Rahma :
allahumamin ÿa allah
2026-09-17 19:54:16
2
afwamohammed379
Afwaty :
amiin
2026-09-17 18:47:16
2
To see more videos from user @nuru_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About