@majirani_wa_peponi: #majiraniwapeponi

Majirani_wa_peponi🦋❤️
Majirani_wa_peponi🦋❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:19:33 GMT
17311
1572
70
39

Music

Download

Comments

misskim_03
babrahkim📿 :
kaswakaaaaaaaaaaaa[Tears of joy]
2026-09-18 06:43:14
7
beingfatma1
Ms - Fatma 🦋💫 :
Hii ni boarding school au day??
2026-09-17 20:18:15
6
mamuochu0
mamuochu :
My best school wallah ❤️🙏🏻🔥
2026-09-17 16:57:29
11
salminamour68
SALMIN AMOUR7 :
mashallah nimehitmu hapo form four 2018 alhamdulilah hio zaidi ya shule inayowajenga wanafunzi kiimani na juu ya hofu ya ALLAH, mwenyezimungu awape afya njema walimu na wafanyaka kaz wa shule hii ALLAHUMMA AMIN
2026-09-17 20:17:00
5
incarnation_prince
prince_incanation❤️ :
ungetupa view ya kitchen 😂😂😂 sem mashallah
2026-09-17 16:57:10
2
hidayakhamis1
hidayakhamis1 :
Nimesoma hapo 2012 ….. ndiyo tulikuwa Form one wa pili shule ilikuwa bado mpya
2026-09-17 18:48:38
4
sopewamchongo
Bishoo_wazamani :
Ada zao zina range kiasi gani
2026-09-17 18:17:14
3
mzeespareparts
Mzee spare parts :
Dah nimesoma hapo form four ya kwanza nimemaliza 2014.,
2026-09-17 20:04:54
2
lomydisinery
LOMY Disiner :
MASHAALAH
2026-09-17 16:41:19
2
faymaher
faymah :
ur ex school
2026-09-17 20:29:55
1
junoesque5
🌹♥️ :
biss academic 🥰
2026-09-17 19:16:31
3
nanah.spices
nanah.spices :
Shule nilio soma 👌
2026-09-17 21:32:46
3
sahel_153
ابو هريرة📿💫 :
Ijumaa ya leo ninamuomba Allah aumiminie moyo wako amani isiyo na kifani, akupe sababu milioni za kutabasamu, na afute kabisa kila athari ya maumivu yako. Machozi yako ya baadaye yawe ya furaha, shukrani na matumaini mapya. Namuomba pia maisha yako yachanue kama ua jekundu, na akupambe kwa furaha ambayo umekuwa ukiitamani kila sikut. Ameen ya Rabb🤲🤲 Uwe na Ijumaa yenye baraka na utulivu moyoni.🥰😍
2026-09-17 21:30:10
2
abdulqarimisaning
President Of 214 🫡+51 :
Maasha Allah Tabaarakallah hongera sana, Issues ya Maadili Ndo mambo yangu penda Sana shule zetu za kiisilam
2026-09-18 08:51:17
2
nadydollar.0
🦋Nadhifa Makeup & Hinnah🦋 :
Mashaallah 🥰
2026-09-18 05:13:40
1
sumaiyya_na_afya2
Sumaiyya Abbas👩‍🎓 :
Mashallah shule nzuri sana hiyo mi nina wadogo zangu karibia wannne wamesoma hapo maadili wow
2026-09-18 11:20:27
2
salminamour68
SALMIN AMOUR7 :
umemaliza mwaka gani ukhty?
2026-09-17 20:25:37
1
salminamour68
SALMIN AMOUR7 :
BISS hapo maadili ni full mkoko, unaanza form one mpaka unamaliza huwajui wa upande pili , hii ni moja shule bora snaa TANZANIA najivunia kusoma hapa
2026-09-17 20:22:10
3
babracute1
being_babra💎cutie :
yeah shule yangu ni nzur jaman
2026-09-17 18:28:55
1
nkusafamily
MOHAMEDI NKUSA :
dada angu pia kasoma hapo
2026-09-17 18:43:51
1
_iamchichi_
Chiku❤️ :
MashaAllah❤️😍🥳
2026-09-17 17:37:35
1
user3447146112947
Idrisa🇹🇿🇺🇸 :
jaman mbona umesahau shule yangu thaqaaf usiache kwenda
2026-09-17 19:20:22
1
mahuba75
femme collection :
mashallah
2026-09-17 16:58:28
2
nurulquran.academy
Nurul Qur’an Academy :
MaashaAllah Allah abarik
2026-09-17 16:25:47
2
chymahnas.123
chymahnass.123 :
Maa Shaa Allah my school🤩
2026-09-17 18:11:46
2
To see more videos from user @majirani_wa_peponi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About