@official_kuhani_atson: Yohana 21:22 Yesu akamwambia, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? Wewe unifuate mimi. #maandiko #biblia #viral #christian #fyp

kuhani Mwakalambo
kuhani Mwakalambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:20:30 GMT
37044
2661
192
207

Music

Download

Comments

bastamaclassic
BASTAMA :
na Yohana aliyekatwa kichwa ni yupi?
2026-09-18 18:33:01
5
binalliy
binalliy :
YESU NI MTUME ANAKUWAJE NA MITUME
2026-09-17 18:05:45
1
samwel_marcus
Sampaul :
Yohana 21:23 [23]Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? Yesu alikanusha akimtaka Petro kuacha kufatilia fatilia mipango ya Yesu.
2026-09-18 05:54:36
17
jovinjoseph5
Jovin Joseph :
Mnafahamu Yohana yupo huko Korea kusini ?
2026-09-27 15:32:48
3
delvin.maleko
Delvin Maleko :
roho ya Yohana bado ipo hadi leo. Naamini iko siku Mungu ataiweka wazi kabla Yesu kurudi kulichukua Kanisa lake.
2026-09-17 17:09:59
3
omykara222
omy boy 🏝️🏝️ :
Yan yesu kamuacha yohana asife yy ndio anamiliki uhai wa mtuu jmn
2026-09-18 13:08:51
2
elangwamsangi
elangwamsangi :
Yoha na alikufa
2026-09-18 12:44:24
0
johnmasala19998
John Masala778 :
Mariam alikufa? au Ali palizwa mbinguni?
2026-10-07 01:09:51
0
johnboy88923
johnboy88 :
🙏🙏🙏lakini Mimi ninaamini kama angekuwepo mpaka Leo asinge kaa kimya Kwa mambo machafu yaendeleayo mbele ya uso wa Dunia lazima angehubiri
2026-09-18 16:03:29
3
dennisezakiel
dennisezakiel :
Huyo yohana alikatwa kichwa au sio yeye
2026-09-18 10:01:06
1
depodita
Elisha_G :
Lakini Yohana Sialikatwa kichwa au yule ni mwingine?
2026-10-03 22:57:27
0
mykofree
mikofree :
kaka yohana uyo ni mbatizaji au laa
2026-09-25 15:07:34
0
mwaitex12
fadhili mwaitex :
hapo mtumishi hilo andiko unalolisema lengo la yesu ni kumwambia petro yeye asidili na hatari ya maisha ya watu wengine bali yesu alikuwa anamwambia amzingatie na amwangalie yesu pekee hapo alikuwa anamwambia kuwa hutakufa kiroho ndo mtume pekee ambaye alikufa kwa kifo cha kawaida akiwa na umri wa miaka 90+
2026-09-19 14:31:25
0
josephwanjala28
Joseph Wanjala :
yohana alikufa akiwa mzee sana mwaka 100Bk akiwa na miaka takribani 90
2026-09-18 08:22:54
0
user5027865552231
ShiRa :
Kwa nin Hasijitaje kama yupo?
2026-09-18 06:14:50
0
user1217223910632
thomas :
hata mimi nilikuwa sijui Leo ndo nimejua
2026-09-17 19:31:54
2
elangwamsangi
elangwamsangi :
Yohana alikufa kifo cha kawaida huko Efeso ila alipewa umri mrefu kidogo 90+ ili amalize kuandika ufunuo
2026-09-18 12:51:44
2
binalliy
binalliy :
Yohana alichinjwa hyo stori sjui umetoa wapi na syo mwanafunz wa Yesu ni mtume wa Mungu tunamjua kama Nabii Yahya
2026-09-19 06:21:05
0
drybon29
drybon :
yohana alikatwa kichwa au me ndo sielew
2026-09-18 15:15:33
0
user8259670377275
BARAKA :
mungu akulindee kunambegu ya mungu ndani yako
2026-09-18 21:07:37
2
petro.albin
Petro Albin :
😁aisee nimependa mafundisho yako ubarikiwe
2026-09-17 16:56:17
2
valentino.ibrahimu
valentino ibrahimu001 :
nimejifunza pakubwa sana hivi ndie alieitwa mwanafunzi pendwa wa yesu baba maana ukisoma agano jipya unaona mwanafunzi pendwa ambae alikuwa analala kifuani mwa yesu naomba nisaidie
2026-09-17 17:24:28
0
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
🫪🫪🫪khe! nimeshangaa sana
2026-09-17 20:11:43
1
davidmatambo7
David Matambo🥁🥁 :
NDIO MAANA NAPENDA SANÀ KUSOMA BIBLIA KUNA VITU VINGI SANA NNAJIFUNZA
2026-09-18 12:48:44
1
amirysaidy4
A.m.r :
Jaman Bwana Yesu asifiwe huyo Yohana alienyongwa ni Yule aliemtangulia Yesu kabla hajaanza kazi yake kwaiyo huyo Yohana anaemsemea ni mwanafunzi wa Yesu kristo
2026-10-06 19:32:36
1
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About