sina mda wakulia na nna njaa zangu njaa inauma kuliko kuachwa weee[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-18 07:02:31
1
Q Joha🦋🦋 :
sijui niweke status😂😂😂
2026-09-17 17:07:11
71
priclissa💞🦋 :
ambae hatulili mapenz tujuane jamn😅
2026-09-18 06:17:38
100
Lucy stephano :
yan me siwez kuacha kula kisa kuachwa nitalia badae baada ya kumaliza kula tena kimoyomoyo.
2026-09-17 18:04:58
153
Chelly bae :
Uwezi amini nimetamni chakula chako😂😂
2026-09-18 04:51:23
20
Mzanzibara :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] bila ya kuwa na bando huwezi kufurahi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] nyie ndo mnaotupa furaha sisi tulokuwa single
2026-09-18 03:26:14
1
Dainess :
amna kuacha chakula jamanii kula upate nguvu mpya yakupata penz jipya
2026-09-18 09:47:48
21
. :
mi nikiwa namachungu yoyote yale nakula ili nipate nguv ya kuhuzunika🤣🤣
2026-09-17 18:46:44
24
FettyMshunu🍂🇨🇩❤️💫 :
Nilikuwa sitamani chakula chochote fetty mie loooh 🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 18:50:45
25
Zaynabo 1213 :
mm mwenyewe kipindi cha uhai wangu nilishindwa kula na kulala kisa mapenzi baada yakufa na kufufuka siwezi tena huo ujinga 😂🤣🤣🤣
2026-09-18 05:26:36
9
Salma🥰 :
ko [Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-17 16:25:59
1
Minnah Fundikila :
Kumbe mim wakishuwa na sijuwi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-18 07:12:26
3
Vummy :
ni uchiz😂😂
2026-09-17 18:01:12
1
Cey.nah :
jamn lete uku
2026-09-17 17:31:01
2
zubeda abuu :
apo kwakulia nimm kabisaaa
2026-09-17 17:17:29
6
Mary Ayo :
siwezi kumlilia mtu tuliekutan ukubwan nakula nashiba na kinywaji juu poleyen mnaoliag ambao atuliag tujuane
2026-09-17 21:19:27
11
Irren Mwinuka :
nile ndo nipate nguvu yakulia
2026-09-17 18:17:22
5
_its..gee :
etty nilie nigundue nin hasw
2026-09-17 18:17:30
5
Cute 😍 pretty 🦋🔐🔑🧸 :
kula ni muhim kuliko at ay mahusian 😂😂😂😂aseee
2026-09-17 18:00:31
6
Angel Kileo :
😂😅😅😅Mungu anakuona umenifanya nicheke kwa sauti mbele za watu hadi wananishangaa😂😂😂😂
2026-09-17 17:41:38
14
Aunt p :
leo ndo niwamini mimi nimasiki kupia hii content maana hata kulia siwezi
2026-09-17 18:20:02
5
Cute loveh :
mimi sijui kwann ila jmn nikiachwa nd napenda kula vip ten ss siy vyakul vibay napenda mamb mazur mwanetuy yaan napenda vp😂😂😂
2026-09-18 11:44:21
2
elvira :
2026-09-17 18:16:11
2
Bee collection💕🖤 :
Huyo wa kimaskini ndo mimi 😂😂😂😂
2026-09-17 19:56:21
3
To see more videos from user @rais_wa_first_year, please go to the Tikwm
homepage.