@truetech_computers: Tsh MILIONI 20 Kwa ajili ya MSI TITAN 18 HX DRAGON EDITION. specs zake ni Core Ultra 9 HX 2nd gen RTX 5090 24GB VRAM 96GB DDR5 RAM 4TB SSD, kimuonekano ina engraving ya dragon kwenye back panel, ina mechanical keyboards yenye Per key RBG, Kioo 18" chenye QHD, na ina full tgp gpu. Hivyo ni monster PC. Kwa wenye pesa wanaweza kujikamatia hii. As always, I hope You learned something, Yours in tech, -VIRAL. #creatorsearchinsights #bestgamingmoments #gaming #viral #bestgames

titanLabs
titanLabs
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:20:51 GMT
26597
758
43
170

Music

Download

Comments

modestus_jr
modestus_jr :
Iyo ya million 20, nyekundu yake ipo?
2026-09-18 08:39:44
14
mr.gamer7554
Pro.gamer :
tunge kuteka🤣🤣
2026-09-18 06:17:55
5
iam_abubakary
Abubakary :
na haichezi GTA 6 😁😁😁 sio Kwa ubaya lakini
2026-09-17 17:30:37
4
jameswapili
The code breaker :
Ifike mahali tuheshimiane
2026-09-18 06:03:54
2
zubery77
zigeonlover :
ina free wifi au kuna nn aswaaa yani 20 million
2026-09-18 16:06:28
0
mr.p886
mr.p :
aaah wap lets do this anauza lak mbil t hiyo
2026-09-18 19:07:23
0
amy793577
Amanos..# :
milion ishirini ina free wifi ?
2026-09-18 09:54:44
1
muhidiniabdulrazaq7
muhidiniabdulrazaq7 :
nakubal mkuu me na mshkaji wangu anayo dell ya million 16
2026-09-17 16:56:34
5
king_warsame7
₩arsame♡ :
Mnapatikana wapi ili niwakwepe
2026-09-18 20:36:16
0
mwamba2005
mwamba2005 :
niletee kabisa
2026-09-20 13:28:05
0
abdulihalison2005
Abdul halisi :
hiv unapata faida kweli
2026-09-19 09:04:44
0
no_body117
no_body117 :
unacheza hadi maisha yako😂😂😂
2026-09-18 15:06:44
0
its_halo47
ITS_HALO :
asus ya 1.5 ipp wapi boss
2026-09-17 16:52:00
2
kitongaofficial1
Official KITONGA :
2026-09-18 18:21:08
0
kingmu616
Kingmu616 Solutions :
hio laptop inakuja na bima😃
2026-09-18 20:25:02
0
emma_jux
EMMA JUX :
Naifanya mapenzi. Naiendesha
2026-09-18 15:49:59
1
officialfrexy
Frexy :
hiyo ni zaidi ya machine 🙌🔥🔥
2026-09-17 16:35:10
0
white.horse596
white horse :
bablai duka liko wap enyewe ziko ngapi kwa duka
2026-09-18 14:03:46
0
jamesasaph12
james :
nataka ya million 20 ipo
2026-09-17 21:03:11
0
abeidbenson
abeid Benson🤖 :
hiyo ya 1.250M ipo fresh
2026-09-18 05:16:28
0
_abuu.aaliyah_
_Abuu.Aaliyah_ :
mbona bei zenu rahisi sana jamani
2026-09-18 12:49:59
1
dannie_elias
dannie elias :
Marketing skills
2026-09-18 11:32:53
0
user7502274739039
mulokozi :
kwamkopo napata maana na mchongo nauskilizia uktk namalzia
2026-09-18 08:14:09
0
bnelectronics
bnelectronics :
nilikuwa naiagiza hyo
2026-09-23 08:01:43
0
chriskipanda
ChrisKipanda :
MSI Shikamoo 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-17 17:24:00
0
To see more videos from user @truetech_computers, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About