@islamicswahilinet: Mke wa Rais wa Nigeria, Seneta Oluremi Tinubu, amemzawadia Maryam Ibrahim Dan’Azumi kiasi cha naira milioni 20 kwa ajili ya kumsaidia kuendeleza masomo yake. Maryam, msomi wa Qur’ani kutoka Jimbo la Gombe, aliweka historia baada ya kushinda nafasi ya kwanza katika kundi la wanawake kwenye Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz yaliyofanyika Makkah, Saudi Arabia. Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:25:17 GMT
Music
Download
Comments
Nah Ami110 :
mashaa Allah wala hatumii nguvu mashaa Allah 🥰🥰🥰
2026-09-17 17:58:20
5
NGOTE(chemist&civilengineering :
wabalikiwe wote
2026-09-17 18:30:06
2
Ahmad :
jazaakumullahu khayran
2026-09-17 18:45:12
1
Mwanajumamwinyi Mohamed :
Mashallah
2026-09-17 19:56:40
0
AminaMrisho :
Masshaallah
2026-09-17 20:28:33
0
Zulfa Malle :
mashaallah Allah ibarik[Red heart]
2026-09-17 20:44:59
0
Nahimana Alima :
MashaAllah 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 TabarakaAllah
2026-09-17 19:50:33
0
aminaally5469 :
Mashaallah
2026-09-17 20:27:35
0
Mariam scarf :
Kwa hii saut Masha Allah masha Allah Allahuma barik ❤️❤️❤️
2026-09-17 20:08:27
0
user2929853958752 farda kombo :
mashalah
2026-09-17 20:14:36
0
Dijah Vijora :
MaaShaaAllah MaaShaaAllah
2026-09-17 19:48:54
0
abdallahrashid33 :
Masha
2026-09-17 19:27:27
0
john.whizzy16 :
🥰🥰 Mashallah 🥰
2026-09-17 20:11:57
0
Tokyomariih :
Mashallah
2026-09-17 20:04:08
0
katoro :
mashallah
2026-09-17 19:52:36
0
Malik Ally :
MASHALLAH
2026-09-17 20:42:45
0
lelya NB :
Mashaallah
2026-09-17 20:22:15
0
user1121947321823 :
mashallah
2026-09-17 16:39:27
0
user2392526057925 :
masharaa
2026-09-17 19:19:43
0
sarahfardeen :
mashaAllah
2026-09-17 19:20:17
0
ur gal nasha💞 :
Maashallah
2026-09-17 19:24:18
0
Moha Zaidi :
Masha Allah
2026-09-17 21:15:13
0
HANIMA SOUD :
Mashallah
2026-09-17 19:27:08
0
yumma :
mashallah tabarakallah
2026-09-17 19:25:25
0
Mmmmmmm :
ma shaa Allaah
2026-09-17 17:28:12
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.