@jvckieseven: mwaka 2008 kwa mara ya kwanza mwanamuziki na producer Bob junior alidondosha hili jiwe safi sana akiwa kamshirikisha king alikiba, ambapo wimbo ulitayarishwa na producer Bob junior mwenyewe. video vixen ni mwanadada Nelly kamwelu,,,,inasemekana nelly kamwelu alinunuliwa chips yai tu kama malipo ya kazi yake 🤣🤣🤣ila hawa jamaa 🙌
Kosa la bob junior alipo umwa jicho aliingiza mawazo ya uchongo na kuhofia kupoteza uhandsome kitu kilicho sababisha apate matatizo ya moyo na sasa moyo huo unatishia kukatisha maisha yake…funzo tuwe na imani na kukulibali shauri la mungu 🙏
2026-09-18 08:36:16
1
AUSTIN 🇰🇪 :
Nilikuwa kidato cha 3 kipindi hicho ila huyu Alikiba azeeke jamani huyu Alik-4real ni wazamani sana kwa kweli
2026-09-19 08:59:29
0
Rais Wakitaa :
king👑
2026-09-19 16:14:13
0
Mau Mnazareti II :
Niko darasa la 7
2026-09-19 09:35:21
0
Raïs🇨🇩🇿🇦 :
king sikuzote ......................................20100
2026-09-19 12:18:51
0
official rama :
huyo dem
2026-09-19 22:13:04
0
donluke :
huyu director slim ashtakiwe
2026-09-18 12:20:37
1
user3225046136761 :
watoto wa 2000 watupishe jaman
2026-09-19 06:57:38
0
THE 👽 :
Hio time madem wembamba walikuwa na market kweli 😂😂😂
2026-09-19 17:32:43
0
🈴️Nelly Dillema coxy💙 :
🥰🥰🥰
2026-09-18 07:17:24
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.