Dakika za jiiiooooooni😆 Lakini Bado ikawa OFF TARGET 😄😄🤣
2026-10-27 10:52:57
22
mamaake abdully :
nimimi tu ndo sipewi jamani.
nilishaomba mpaka basi
2026-10-27 08:43:41
4
official kalebo :
safi mwanaume umetuheshimisha
2026-10-28 04:23:54
7
sidathy :
😂😂😂😂Mkewangu alinidai taraka na kisu mkononi me nikampa kwenye kikao cha familia anasema mumewangu ameniacha bila makosa sasa makosa yann na umeomba taraka me nisikupe kweli
2026-10-27 09:19:32
10
ALONE 26#🤞 :
uwo ndo uzuri wa kukaa mbele kwe kikao chetu.
2026-09-19 10:30:34
42
Barageti_10🇹🇿 :
😂😂😂 Mwamedi hana cha kupoteza
2026-10-26 15:05:20
11
bonny77 :
kidogo tu apate independence
2026-09-20 12:57:38
10
Alhaji :
Ilibaki kidogo jamaa atoke jela
2026-09-20 17:39:10
6
David_ quotes_pro :
huyu jamaa awe mwenyekiti. kwenye vikao vya wanaume