@jvckieseven: BABA MZAZI BABA 🔥🔥mwaka 2010 mfalme wa muziki wa kanda ya ziwa best naso alidondosha hili jiwe liliosumbua sana. jiwe liliitwa mamu wa dar likiwa lipo full ujumbe na hili dude lilitayarishwa na producer KGT SHADIDI kutoka G records.

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:48:05 GMT
111152
5601
170
207

Music

Download

Comments

real.fasmah
Fasmah-Nadir❤ :
Hataaaa shuleee sjanzaaaaa jmn days are going
2026-09-21 17:14:25
0
quansavage1738
Michael Rogers :
Best story teller wa bongoflava
2026-09-21 19:35:32
0
latifaabbas6
it's me🌺 :
maskin tessy[Broken heart]
2026-09-21 08:48:02
0
official.reanar255
official reanar255 :
ila nyimbo za zamani nilikuwa zinafundisha🥹
2026-09-21 15:07:11
7
rojas42414
💫💥ROJAS💥💥 :
tuliohitimu darasa la 7 mwaka 2010 kuna anaemiliki gari kama unalo weka kwenye moment tulione kuna zawad apa
2026-09-20 08:09:53
8
juju.beauty.salon
Juju beauty salon :
Hii nyimbo wakati inatoka dada yangu allnaitwa mariamu alikua amepata ujauzito akiwa form one daah ulikua ukipigwa huu wimbo alikua analia sana
2026-09-21 12:05:52
9
nteze_
_nteze_🦈 :
GRACE MAPUNDA💔🕊️
2026-09-19 17:07:53
5
h.cute.baby3
h cute baby :
Tuliokuwa la kwanza like🥰 apo😂
2026-09-21 12:00:50
2
afya_herbal1
Afya Herbal Group :
la 7 ,,2010
2026-09-20 13:09:31
3
neywz
Ney🍎🔐 :
Mbona huyu hayupo miaka 30
2026-09-21 19:10:22
2
n.a.s.s.o.r
nassor :
😂😂 ulikua humwambii kitu djalo wa lungu( baba mzazi) pale tbc FM kila siku lazima aipige
2026-09-17 19:44:34
11
mwajumahamisi38
mwajumahamisi615 :
huo mwaka na Mimi ndiyo maliza elimu yangu ya msingi
2026-09-21 08:19:10
5
rockriss2
BM3 :
mbona hayupo kwenye miaka 30 ya bongo flev
2026-09-20 14:40:27
5
user2186571794458
summy😍 :
aiseee nilikuwa nasoma 2
2026-09-20 13:00:31
3
ashuramadege107
Ashurey :
me nipo zangu na miaka3🤣
2026-09-20 12:31:19
2
marydebless
@queen :
nilikuwa darasala4
2026-09-21 18:25:24
2
user3609738003415
Rosette 🌹 :
kweli nakumbuka zamani
2026-09-20 14:57:29
2
emmykitezo
Emmy pesa :
nipo form4
2026-09-21 17:39:54
1
ishaa.tz3
Ishaa Tz🥰 :
safi sanaa.
2026-09-20 10:35:27
1
pretty_muuh_
pretty_Maryam💕 :
nilikuwa la 5
2026-09-21 18:20:50
1
hassan.gunguti
Hassan Gunguti :
Mimi miaka6 😂
2026-09-21 08:45:58
1
tiffah_joseph
Tiffah :
Ndokwanz nilikuw na miak 3
2026-09-21 13:44:13
1
introvert.power80
INTROVERT power :
best naso mtoto 😁😁😁😁 sasa hivi amezeeka hivi vipaji vinakufaga from no where😁
2026-09-20 15:00:56
1
angelinamgaya
angelinalucas :
nilikua darasa la 3 ila maisha haya jmn😂😂😂
2026-09-20 19:31:43
3
minah.ghera
Minah ghera :
nipo form 2
2026-09-21 11:34:07
3
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About