@mondo_kid1:

MONDO🧑‍🦲
MONDO🧑‍🦲
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 16:50:21 GMT
139429
8350
219
296

Music

Download

Comments

internal.auditor0
Internal Auditor :
safi kabisa....mama zangu wa kisukuma
2026-09-18 08:47:46
48
siriack10
Siriack10_⚽🔵 :
natafuta mdada mmoja wa kisukuma 🙌
2026-09-18 09:52:44
5
kashukupremium_shoes_
KASHUKU PREMIUM SHOES :
wasukuma wenzangu mko ?wapi
2026-09-17 17:27:54
10
grace03716
grace 🌸 :
mm ni msukuma ila hiiii daah ahsante Mungu kwa kufanya nizaliwe mjinii 😂😂😂😂 ila napenda sanaaa kabila langu
2026-09-18 13:10:14
6
virtuoustasha5
virtuous Tasha :
tangu nianze kudate na msukuma basi bwana nawapenda sana hili kabila hata wanapokosea mi naona wako sahihi ila tu wanajua kupenda bhana🥰🥰🥰
2026-09-19 16:18:22
7
user3953698818597
ramse :
jina la wimbo please
2026-09-18 06:04:01
3
piuc_tx
Pius-Tx :
nikirudi nyumba nataka msukuma wangu anichezee hivi 🤣🤣🤣
2026-09-18 09:09:11
6
user1266388421755
Anne :
mama zangu[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-17 17:23:14
0
p87200
Hgirl@/@ :
mama zangu mbona hamfiki😂
2026-09-20 10:18:28
1
grace68560
Grace lenjima 🥰 :
mm ndo huyo mama alonuna
2026-09-19 10:31:54
1
f8082
Quadruple F🥰 :
naomba mtu anisaidie,akisema amakosa nakosile mwanzo ni maneno gani yanaendelea
2026-09-18 11:57:59
2
user5019007218574
Shija Sylvester :
wap hapo wamama waheshima kweli
2026-09-19 15:04:31
0
rehemaemmanueli5
Rehema Emmanueli :
hexhima kwa kabila letu
2026-09-21 10:16:51
1
azumi5115
Azumi :
jmn wasukuma wazuri na hapo wapo interior
2026-09-18 12:32:28
1
naship68
naship :
nawa penda watani wangu🥰🥰🥰🥰
2026-09-18 20:25:57
1
walidisaid639
mn :
wasukuma tujuane mikonojuu
2026-09-19 09:37:41
1
user2632412445581
Jessy :
wananesa vizurii
2026-09-18 09:50:15
1
leocadiazengo
Ze Leo Kids fashion ✨️ :
hapa wapo kijijini lakini wameglow zaidi ya baadhi ya walipo mjini 😁♥️🥰
2026-09-18 14:56:51
3
m.star.foundation
m star foundation :
mama haoooooh miaka mia
2026-09-18 05:20:12
3
matululunkinda3
We zombi. 2009🫎🫎🦝 :
wamependeza
2026-09-18 04:35:56
1
miss_mwiga05
miss_mwiga05 :
Napenda wasukuma mm jaman
2026-09-18 14:02:20
1
kabulamato
Bernaa :
Wamependeza wenyewe
2026-09-18 15:15:19
1
eliza.nyakunga
SHUNNY VIFAA VYA UJENZI :
Msusi ni Mmoja Mungu aibariki kazi ya mikono yake wateja aliwapata
2026-09-18 09:41:43
1
mwana_1
mwana_1 :
huyo wa mbele mwenye pochi nyeusi anacheza vizuri[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-26 04:34:13
0
shinjemaige
Manumbu Jr 🇹🇿 :
sawaaa
2026-09-17 16:54:35
0
To see more videos from user @mondo_kid1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About