Watu wenyewe sikuizi hata dakika 10 nyingi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 08:18:24
3
bin salum#/12345 :
nyie hamjasikia uwo wimbo unasema dada fatuma[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 04:04:12
4
Mr.raji :
also me, no time to waste
2026-09-19 17:30:26
0
Frank Bushiri :
Bora huyo kabeba nguo mimi niliaga naenda kazini mpaka leo mwaka wa pili sijarudi mamae
2026-09-18 14:31:18
80
Salum Mayoo :
who is cameraman???[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-19 06:39:51
0
Radson Ernest :
oya waume hatushindani tunaonesha vitendo tu
2026-09-18 07:22:27
46
Fف🇸🇦✌️ :
Mm siezi mnyima mume wangu, kwanza nikimuangalia tu namuonea huruma
2026-09-19 06:26:34
29
V vany boy :
so utani hiii ni kweli kwenye ndoa wanaume wengi sana wanapitia hizi changamoto
2026-09-19 05:03:04
26
mom p :
cku zote huwezi kuona dhaman ya kitu kikiwepo ndan mpka kiondoke ndo utajua dhaman yake
2026-09-19 05:01:39
14
herimornchriston7 :
halafu kanikimbia kaniacha peke yangu kumbe umemkimbiza 🤣
2026-09-19 04:17:18
10
milio classic tz :
It really hurts.
2026-09-19 12:25:44
0
aziza sobo :
Akina mama wenzangu siwaon vipi au bado aijawafikia ii 😂😂😂
2026-09-18 09:28:58
17
rehema edambo :
Sheria ya dini hairuhu hivyo ni jambo baya sana mwanamke kumfanyia hivyo mumewe analaaniwa duniani hadi akhera Mungu atujaalie tuwe wake wema kwa waume zetu
2026-09-19 08:15:43
30
tiho mayala :
mimi ni linyimwa nika vunja ndoa
2026-09-19 06:33:25
4
jackson :
maana yake mke kama hakutaki bas muache ipo siku utapata anaekupenda 😂😂😂 nimeipenda hiiii ngoja nikiowa akininyima2 naondoka zangu
2026-09-18 03:57:00
15
Official_Abal :
goooooood
2026-09-19 07:46:55
0
Msese jr :
Ndg zang hlo ni jamb la kawaiada kwa w/ke ndoman aliyewaumba na anayewqjua alisema tuoe wake 2au 3au 4 kwasbb weng wap hivyo alaf tukumbuke ndoa ina daraja kubwa sbb ya uvumiliv
kwa maon yng m/me hakupaswa kuondok ndoa inahitaj subra jmn
2026-09-18 12:34:55
4
Helen :
haya mambo bwana mbona miminimwanamke nando nanyimwa,mwanaume wahivyo angekuwa wangu hilo lisingekua tatizo
2026-09-18 10:06:01
3
""kenny🚲✨️💯🙈🙈 :
lemenikutaa leoo hili
2026-09-19 02:41:49
2
S P K LOVE🥀🥀 :
kafanya maamuz mazur sana
2026-09-20 06:38:59
2
Rahma Salewa ...🥰 :
Mwnamke hichi ndicho kinamuweka Mwanaume Duniani❤️ukimnyima Umemuuuwa mazima au kumtafutia dhambi kubwa maishani mwake💔💔.Tuwapende tu waume zetu pamoja na changamoto nyingi tunazopitia,ipo siku zitakoma tuu☝️☝️
2026-09-20 10:22:52
4
@🕌Amani ya moyo🕌@ :
unaweza hisi ni masiara kama haijakutokea omba sana isikukute hii
2026-09-20 10:57:36
1
ctv.bm tz :
alaf limtu linaanza to kukushaur uoe
2026-09-19 06:07:37
1
ommy kessy :
dah hata cjui niseme nn kw maan ilinitokea nikaanz kuw na mademu nje
2026-09-20 04:45:49
1
James frank barton :
hii ndoo dawa Yao lakn usiondoke kabisa nawew unamtisha lakn pia unampa funzo
2026-09-19 17:03:51
2
To see more videos from user @chii.wa.matofali, please go to the Tikwm
homepage.