hata campn ya tv ya Hitachi ilipotea iviv watu wnataka smart TV wao wakakalia chogo tu kwakuamin smart hazitadum mana kioo chake rain na chogo hata ikianguka haivunjiki
2026-09-18 09:46:05
5
Nøvar jñr💙 :
tuamby kuhusu blackberry
2026-09-18 06:39:51
3
BABA MII :
NO KIA "YAANI HAKUNA MUNGU"
2026-09-18 16:30:46
1
Barageti_10🇹🇿 :
kwanza nokia alikataa kbsa kuhusu simu ya line mbili akisema haiwez kuwa original, Samsung akamfurahisha
2026-09-18 16:47:47
2
alvin deus :
RIP nokia niache kiburi sio kizuri kabisa🤣🤣
2026-09-18 13:27:33
1
Nashonibrahim :
Nakumbuka 2007 Nilibaki nyumbani Sikwenda shamba Nikawasha simu ya Bibi Nakuanza kupgia watu Hadi vocha ikaisha, Si nikashindwa kuzima we Niliahahah Kama Mbwa mwitu 😂😂😂
2026-09-18 12:22:21
3
Daz_G_Enterprises_TZ :
Unaijua Kodak, Hii pia ni kampuni Iliyofilisika kutokana na sababu Hizi hizi za kutokukubali kuendana na wakati..
.
Zilipokuja Camera za Digital Wao walibakia na camera za analogy (zile za kutumia Film). Hapo ndipo zikaibuka kampuni kama Sony na Panasonic. Kodak akajutia
2026-09-18 04:20:55
3
abby saleem Qr :
me nimejifunza tuache zarau
2026-09-18 17:59:00
1
Fei smart Tech :
Walienda kinyume na law of marginal utility...They never no kwamba wanaokupandisha ni watu na Wanaokushusha ni watu.
2026-09-17 17:43:32
3
##Ngimba boy 45🌟🔥👑 :
ubishi hautakiwi😳😳
2026-09-17 17:37:14
4
stanley kadilana :
Sawa sawa na blackbery
2026-09-18 11:39:47
1
hanscastro :
kuna Nokia lumia
2026-09-18 06:02:54
1
Silva mathayo🌎✅ :
kaa pembeni nokia
2026-09-17 17:31:04
2
Sabeeh Kharady Aman :
Kiburi si maungwana 🥺🥺
2026-09-19 05:00:29
0
Msela Mselanunda :
Mm nawalaumu kutuondolea Nokia lumia
2026-09-17 20:28:52
1
Said Libonge🇹🇿 :
umeisahau nokia asha 210 nimetamba nayo sana mwaka 2012
2026-09-18 20:04:40
0
Revolution :
funzo tuache kibur na tukubal mabadiliko Kwan Dunia inabadilika
2026-09-19 08:01:05
0
Wardah :
Nokia bado iko sokoni
2026-09-19 08:25:11
0
star AOGOPI SKENDO :
kipato huleta majivono
2026-09-19 05:40:01
0
Francis Tawete :
Nenda na mabadiliko
2026-09-19 07:42:59
1
maulidimohammed74 :
duuh🤔
2026-09-17 17:11:31
0
To see more videos from user @junefx27, please go to the Tikwm
homepage.