@sarabloomofficial: Back in stock! The Ninja Master Prep Professional makes chopping, blending, and food prep quick and easy without taking up a ton of counter space. 🙌 #NinjaMasterPrep #NinjaKitchen #FoodPrepEssentials #tiktokshopcreatorpicks #tiktokshopstockup

sarabloomofficial
sarabloomofficial
Open In TikTok:
Region: US
Friday 18 September 2026 09:00:00 GMT
1433
1
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sarabloomofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Maombi ya jioni / Evening Glory Mwl. Tuntufye Mwakyembe - 0767629562 Rehoboth Prayer Ministry Ufunuo 2:2-5 anasema  Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika;  2 Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; 3 tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. 4 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. 5 Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza.  Mambo ya kuzingatia -  Mungu anajua na kuthamini taabu yako - hakuna unalolipitia Mungu asilolijua - Mungu anajua na kuthamini subira yako - Hakuna uvumilivu ulioufanya au unaoufanya Mungu asioujua. - Mungu anajua na kuthamini vile umejitenga na wabaya au ubaya  - Mungu anajua na kuthamini vile umejitenga na mafundisho ya uongo na manabii wa uongo katika kuitafuta kweli. - Mungu anajua na kuthamini vile ambavyo haukuchoka kwa ajili ya jina lake - sasa basi ni nini Mungu anasisitiza kwako - kiwango chako cha maombi cha kwanza, kiwango chako cha  kutafakari neno cha kwanza, kiwango chako cha kumpenda cha kwanza, kiwango chako cha  kumtafuta cha kwanza.  Kama kuna kiwango Mungu anakitafuta kwako maana  yake ni kuwa kimeondoka au kimepungua sasa haijalishi nini kiliondoa, mimi ninachokuombea leo ni ile neema  ya kurejeshwa kwenye nafasi. Bwana na akurejeshee viwango vyako  katika jina la Yesu. PATA MUDA WA KUOMBA KULINGANA NA VILE MUNGU ANAVYOKUPA NAFASI  - NA KULINGANA NA VILE  MUNGU ALIVYOKUSEMESHA KATIKA NENO HILI. https://chat.whatsapp.com/EyeEVPOMEux4SScAziW79U?s=cl&p=a&mlu=4&ilr=4

About