kisima cha kibur Niko hapa😂😂 me ndo nawakilisha wahaya Kwa kibur
2026-09-18 08:16:23
74
Cugalivinus Archard :
Samahani ndugu zangu juzi nili mpigia mala mbili hakupokea kwaiyo sipigi tena ili bland ituzwe😂😅✌
2026-09-18 12:29:24
12
Omugonzibwa :
mshachelewa😂
2026-09-17 18:35:03
4
General frolic :
Sasa mbona mm nabebeleza mpaka ndotoni na bado sidumu mpaka Sasa mahusiano nayaona kwa wengne hadi watu wanajuaga mm msukuma sio muhaya au ndo tatizo nyota kipindi Mungu anagawa bahati ya mapenzi mm nilikuwa kwenye foleni ya kupokea chakula nashindwa kuelewa mm🙄
2026-09-18 20:58:20
3
Kayliana🤍🫶🤍 :
jana nlikua nabembeleza gafra nkajikut nafoka ndo nkawa nimeachika hivo 🤣🤣🤣kumbe m mhaya sema kumeniponza😭😭😭
2026-09-18 09:51:33
9
PC 🇹🇿 :
kumbe ndo maana huwa sibembelezi😂😂 sasa ndo najua mimi Muhaya😂😂😂