Mungu ni mwema namshukuru kwa kunichagua mm niwe mtt wakwanza ninayopitia Mungu alikua anajua nitayaweza mambo yote ktk yy anitiae nguvu🙏🙏
2026-09-18 06:12:45
39
mamtikt3 :
yupo wetu nikama vile hatuna dada kabisa daaah
2026-09-18 07:18:20
10
shaymaa332 :
yooooooh nakaribia kukata moto aiseee
2026-09-18 07:29:48
5
Dianne Hendrk :
mungu atupiganie na tusichoke kupambana
2026-09-18 06:36:55
15
Maimuna💘💘💘 :
hugs 🫂 first born
2026-09-18 08:54:59
0
jojoo_collection :
Huyu ni mimi kabisaa,uwiiiiii
2026-09-18 05:37:02
17
joselinejulius6 :
hata last born tunachokaaa
2026-09-18 07:16:27
1
agness :
Amen[Pray][Pray][Pray]
2026-09-18 07:33:50
0
kidoty furniture :
Nilikua nimechoka lakini nimeona hii video nimepata nguvu tena ee MUNGU nitie nguvuu 🙌💔
2026-09-18 09:19:17
4
Jojo❤️♥️ :
Mungu atutie nguvu wallah maan kunamuda Tulia tu🙌
2026-09-18 09:08:11
6
kidoty💫🥰💫 :
mungu naomba niongoze said🙏🙏
2026-09-18 08:21:19
3
Jackie cakes and more nyamongo :
Mungu nitie nguvu
2026-09-18 08:01:46
2
R :
yaaani mpaka nikiumizwa naficha ili kitoto changu kisipatwe na maumivu na chenyewe
2026-09-18 04:14:51
6
Paula👠 :
Mungu nisaidiee mm nategemewa 😭
2026-09-18 08:48:52
2
user3046818125739 :
Amen hakika tunapitia mengi sana
2026-09-17 19:36:56
8
Anipher 🥰💗 :
Amin
2026-09-18 06:04:40
2
🦋Imelda🦋 :
adi nimelia jamani Naamin Mungu anakusudi na mm
2026-09-18 08:28:07
2
catherinechales :
nko hapa adi nikitaka kulala natoa sauti kwwnye simu😂 maana kaka zangu nawadogo zangu wanavopisha kwenye simu nyie adi nawaambia tulia kwanza issu yakka sijaimaliza bado utasikia kwaiyo mimi lini sasa str haliayangu mbaya🤣😂
2026-09-18 08:30:08
2
Bint Alex :
mungu nipe moyo wa upambanaji niilee family yangu
2026-09-18 09:20:18
1
precious tinah :
ninachoamini sikuwa first born kwa bahati mbaya mungu anamakusud na mimi😭😭😭
2026-09-18 09:33:15
1
Mamu Ismail :
Nimechoka sana yaani daah
2026-09-18 07:20:57
1
To see more videos from user @vickyshirima2, please go to the Tikwm
homepage.