@omarimshairi: TUMEANZA na AZAM KITUO KINACHOFUATA NI KARIAKOO DERBY YANGA VS SIMBA 10/10/2026 AU YANGA MBOVU IMERUDI TENA 😅😅😅 JAMANI wasafi saivi wapo vizuri ukiacha kipindi cha michezo cha asubui ,, Kuna hiki cha Jana na Leo nacho KIZURI tukifatitulie ndugu zangu 🙏🙏 Ni nyinyi tu kuamini kwamba msimu huu Simba wanamaanisha biasharaa ya kuutaka ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara. Kupata alama mbele ya Mpinzani ambaye anasifa ya kuwa bingwa maanake ni wazi asilimia kubwa Kuna Nafasi nyingi ya kuukalibia ubingwa. Baada ya mda mrefuu Sana Simba kutopata matokeo mbele ya Azam kwenye uwanja wa Azam complex Leo wamevunja mwiko huo. Kumuelezea Chama utamaliza tuu kamusi ya maeelezo huru kuhusu Simba na chama na Chama na Simba .. Anyway ndugu zangu Azam fc ...Bado Kuna namna Bado hawajajipata Bado .. muunganiko wa timu sio mzuri hususani wakikutana na timu zenye sifa ya ubora wa wachezaji kama wao. #simbanguvumoja #yangasc #AzamFC #nbcpremierleague #simbasc