@arabicservice: Umeweza? #creatorsearchinsights #islamicfypシ #islamictrendingvideo #creatorsearchinsights #createsightinsight

HOUSE OF ISLAM
HOUSE OF ISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 17:33:38 GMT
18165
1481
47
66

Music

Download

Comments

alinyo28
Alinyo :
Please recheck Ust bado hapo sorry
2026-09-18 04:54:42
0
munerykanju
KANJU OG :
hamzatul wasl ikiwa katkat lazma uikate na usome kwa sakna.
2026-09-18 04:21:03
4
parrot_0025
🦜 :
ostadh umeupa leo
2026-09-18 05:04:05
0
hadiamwinyi
hadiamwinyi :
kiasigan ilo darsa
2026-09-17 19:33:56
0
i.i.k66
أبو إسماعيل :
sheikh io kuvuta ni ukismama au hata bila kusmama unavuta pia ???
2026-09-17 20:09:05
3
7udhefa_
7udhefa_ :
Sasa unasimamaje katkat ya aya na hakuna alamatul waqf😌 ungetoa mfano wa suratul ahqaf bro
2026-09-17 20:16:44
4
athmanmansour500
Mansour :
sheikh katika qiraa ya hafs sio sahihi...wallahu warasuluhuu a'lam
2026-09-18 04:46:36
0
rabbaitulbait05
Rabbaitul Bait :
hamzatufwasil ikiwa katikati inakufa
2026-09-17 20:03:20
1
binti.kombo4
Binti kombo :
jamani na mm ntaka hilodarsa na ada bei gani lkn mm ntaka nisome online maana c po karibu inawezekakana
2026-09-17 18:19:11
1
khafswaty.queen
khafswaty Queen🥰 :
shukran
2026-09-18 05:08:17
0
user2565412201295
user2565412201295 :
shukran akhy
2026-09-18 03:58:35
0
hajra_onedirection
Hajra_OneDirection. :
mwalimu ukinyanyua tu huo waya vina evaporate😭
2026-09-18 04:24:16
0
arafakanyinyi703
arafa kanyinyi :
shukrani
2026-09-17 17:49:00
1
abuu.shaukan1
Abuu shaukan :
mmmh
2026-09-18 03:24:24
0
musa.masuo
Musa masuo :
twajifunza mengi. Allah akuhifadhi
2026-09-17 19:16:37
1
zeeshirash
ummu Abdulrahman :
Bismillah na waya huo,ngoja kwanza
2026-09-18 04:34:22
0
lady.zuu.juma
Lady zuu Juma :
shukran san najifunza kupitia wew allah akulipe kaka
2026-09-18 04:08:24
0
hemedilisani
hemedilisani :
Allah akuhifadhi bro nakufatilia tangia face book, unachokifanya kwa umri wako japo siujui ni kijana ni jambo kubwa kwa dunia na akhera
2026-09-18 03:38:54
0
changu_254
Changu_254 :
Ila hapo ukisoma bila waqf utasoma "Ituni" , sasa ungetoa mfano wa kama haujaweka waqf ndio tunao tafuta ilmu tusikorogeke bro
2026-09-18 02:11:09
0
alitajiri
fal safa :
hiyo yusuf ni kiraa gani shk... kama ni kiraa cha hamza ni uutunibihi
2026-09-18 00:02:02
0
alhaq7476
UKWELI TU :
okay unakusudia qiraa ipi?? akhy Riwaya ya nani hiyo?
2026-09-17 23:12:13
0
umumunira03
ummu munira 🧕🥰 :
shukran akh Allah akulipe kher
2026-09-17 20:41:27
0
halima.seleum
Halima Seleum :
pesa ngapi malipo ya mwezi mimi mkenya nipesa ngapi
2026-09-17 20:12:13
0
ebra_him_17
• • :
Waqalal mulku utuniii biii
2026-09-17 19:52:20
0
nillah_collection
Nillah collection :
Ouh maashallah niliku sjui nmejifunza na nimeelewa baarakallah fiika
2026-09-17 17:38:58
0
To see more videos from user @arabicservice, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About