@mrsdaccoh: Nimempikia @Daccoh Wali wa Bigiji Amekula na ameshiba sana asante kwa kuja kula #mrsdaccoh #daccoh #mamawataifa #daccohkiporo #waliwabigiji

Mama Wa Taifa
Mama Wa Taifa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 17:42:25 GMT
155220
5223
410
1166

Music

Download

Comments

user2275992609171
BARAKA SHIRIMA :
duh nlijua nimeona vyote kumbe bado kuna wali wa bigiji🤣
2026-09-17 19:45:24
151
josspower793
Butterfly 🦋 :
huyu dada anaweza kupika maisha yangu
2026-09-18 05:23:15
203
sally_decuty
Sally_B🦋🦋 :
Nimejaribu jmn nimeachika leo usk na nipo kwetu hapa nasubr msamaha 🥹😓
2026-09-17 19:41:33
180
rejina.martin2
Rejina Martin :
we nichizi jamn wali bingijii e mungu jamn itakuwa mataputapu
2026-09-17 18:11:06
86
barackr
barack :
Daccoh nipe code uliiotea wapi 😁
2026-09-18 13:04:49
0
jocory360
jocory :
hii inaitwa sumu ya bwana ako[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 06:27:33
26
sylviagervas
Sylvia Gervas :
chakula kizuri sana kama unataka kuarisha
2026-09-18 10:56:09
23
nyla32788
nyla❤️ :
kwan haya mapishi unatoaga wap namim nifwatilie😂😂
2026-09-17 18:34:21
29
chocolate.barbi3
🍫Ms.Chocolate🍫⁷ :
Unaona sasa mimba yangu inataka wali wa bigijii
2026-09-17 21:21:09
25
misssalhy
miss@salhy :
Unajua kutuchefua kha 🤨🥺
2026-09-18 05:40:10
7
edithasimon635
Editha Simon :
nachoka mm
2026-09-18 12:53:49
0
dalfah88
♥️مزذلفة🦋 :
mume wangu anarudi kashiba kumbe mke mwenzangu .,kampikia wali wa bigijii 😁😁 mtaniulia jomn looooh
2026-09-18 14:12:39
5
yessir28060
꧁༒𓆩𝗬𝗮𝗌𝗰𝗈𓆪༒꧂ :
kumb hii movie haijaisha
2026-09-18 05:33:10
2
zuhuraomari1113
Zuhura Omari :
iv we dad ni mzm kwer ww
2026-09-17 18:02:15
6
user1542756924704
miss sonic lynne💦💙 :
anajua alicho kifany nd maan hajib comment
2026-09-17 18:14:31
6
hafsa.sadiki8
hafsa khan :
kuna watu wanakitafta
2026-09-17 18:29:08
9
eduh1380
Daisy hutler🥰 :
heeeee nachoka mm
2026-09-17 17:56:21
4
kendricknando
NDIkI KP 😇😗 :
uyo daccoh wakoujawai kumuonesha
2026-09-17 19:42:10
0
mamy_hyra
Mrs 🄸🄻🄻🅄❦♥❣ :
Jamani tumuwai hatapona uyuuu kaaaaa
2026-09-17 18:31:25
9
joseph_lucas19
Joseph Lucas :
Mtakuja kutuuwa Nyie 😅
2026-09-18 08:56:42
3
shonde261
Shonde 26 :
10,10
2026-09-18 06:14:50
1
agnessruben631
MAMA ASHKAN 🦋🤍❤️🦋 :
dunia simama nishuke😂😂
2026-09-17 20:42:36
5
user3422636761749
nadhifa@ Abubakary :
jamani wewe mbona hivyo
2026-09-18 05:12:52
2
b.r.u.v.a.n.y
icon living🚀👣 :
kwann tusiwahi kufa jmn😂😂😂
2026-09-17 20:42:37
3
selina.methody
Selina Methody :
unapenda kujiamulia mambo wewe🤣🤣
2026-09-17 21:45:28
2
To see more videos from user @mrsdaccoh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About