@bathromeo.kikao.o: #kuna_Tofauti_kati_ya ⚡⚡#Coil voltage na Load voltage,#Load voltage #Coil_voltage hii ni voltage Inayo pimwa kati ya waya mbili na Kuungwa Kwenye coil ya Contactor #A1_na_A2 Hii ni voltage Inayo pimwa kati ya L1,L2 ,L3 na Neutral na kuungwa Kwenye na output ya main Contact (chombo kinacho tumia Umeme) Karibu tukuhudumie