@paschalcassian04: WATASHINDANA HAWATASHINDA GARI HILO LIKO PALE PALE KWENYE KORONGO MANA HALITAMANIKI NA LEO BWANA ALICHO NITUMA HAPA ULYA NKURU KINASIKIKA WATU MAMIA NA MAMIA WANAMIMINIKA KUOKOKA SAMBAZA UJUMBE HUU UWAFIKIE MARAFIKI#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #INGIAUONE
hakuna uchaw wala uganga kwa israeli, amen and amina
2026-09-17 18:04:37
6
Alex Ramadhan :
saut iliyobeba Habari njema za ufalme wa MUNGU enyi wanadamu ipekeeni Injili na mwokoke kwa jina la Yesu kristo iogopeni sana siku ya hukumu kwani itakapokuja itafunua ukweli kuhusu Injili kuhubiriwa kwenu na hakuipokea
2026-09-18 21:28:46
2
monica :
amen amen 🙏
2026-09-19 08:44:00
1
Rachel Benjamin :
Amina kubwa mtumishi
2026-09-20 06:27:56
0
Mungu Nikumbuke :
ameni hauto kufa bali utaishi milele na milele
2026-09-18 14:00:50
1
Raphael Jackson Official :
USIOGOPE MUNGU YUKO PAMOJA NA WW🙏🙏
2026-09-17 18:50:12
2
Mercy Paul :
Ameeen mtumishi Mungu akutunze 🙏🙏
2026-09-17 18:20:39
1
@denis Sebastian 22 :
mungu muweza wanted amen 🙏🙏
2026-09-19 18:12:27
0
Evance Taliye :
Piga inili kaka mpaka shetani apige makofi Mungu akutie nguvu milele
2026-09-20 04:00:04
0
princess :
sauti ya mamlaka
2026-09-19 19:51:59
0
FADHILIEDWIN NDILE :
ubarikiwe mtumishi
2026-09-17 18:03:54
1
user6616510731094 :
amina
2026-09-19 11:15:17
0
𝐘𝐄𝐒𝐔 𝐀𝐍𝐀𝐊𝐔𝐏𝐄𝐍𝐃𝐀 :
Hallelujah hallelujah Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana Sana Hakika Mungu amejua kunifurahisha kwa Ujasiri huu aliokupatia Songa mbele hakuna wakutushinda tukiwa na Yesu Kristo
2026-09-17 18:00:12
1
EV KIKUNDA ÉDOUARD :
[Prière][Prière][Prière] mungu akulide sana mtumishi
2026-09-17 17:56:24
1
Rachel Benjamin :
Amina
2026-09-20 06:28:35
0
Emma the done 🇹🇿🇹🇿 :
amina
2026-09-19 18:17:10
0
haron768 :
Amen
2026-09-17 18:05:09
1
petro :
BABA YANGU SEMA KWELI MUNGU WA MBINGUNI AKU INUE ZAIDI
2026-09-19 13:25:20
0
Pili Mashauri :
Jina la bwana libarikiwe
2026-09-19 12:54:51
0
BALOZI WA YESU 037🙏 :
Aaaaamen 🙏👏👏👏🙏
2026-09-20 07:54:21
0
adam julius :
nafulahi kukuo naaana nakuombea sana camanda wangu🤝
2026-09-19 17:19:37
0
Imani kuu kwa aliye juu :
amen mtumishi wake bwana mungu wetu wa mbinguni
2026-09-20 08:34:39
0
Zabron M :
🙏🙏🙏 barikiwa sana
2026-09-19 11:42:02
0
To see more videos from user @paschalcassian04, please go to the Tikwm
homepage.