@lolohsmile: Kwa sasa sijui baba na mama wa hawa watoto wako wapi, wala wana hali gani. Kinachoniumiza zaidi ni kuona watoto wakiwa katika hali hii bila msaada wa wazazi wao. 💔 Leo narudi Dar kwa ajili ya maandalizi ya Charity yetu ambayo itafanyika Jumamosi hii, tarehe 19, pale Magomeni Kagera. ❤️ Karibuni sana tushirikiane kufanya jambo la maana kwa jamii. Lakini baada ya kumaliza Charity yetu, nitarudi tena Morogoro kwa ajili ya hawa watoto. Sitaki suala lao liishie kwenye kuwapelekea chakula siku moja tu. Natamani tuone namna bora na salama ya kuwasaidia na kuhakikisha wanapata msaada unaostahili. Mungu awafungulie milango na awape watu sahihi watakaosimama nao. 🤲🏽❤️ Kwa sasa @kayago_tanzania ipo Tanzania nzima, kurequest mkoa wowote tu. @kayago_tanzania usafiri salama na nafuu. Download app hii wakati wa kujisajili andika referral code ya LOLOH kwa herufi kubwa na ufanye safari zako pamoja na delivery.