@gerry__patrick: Vaa viatu vya huyo mama, Je wewe ndiye ungekuwa huyo mama je ungemuadhibu mtoto wako kutokana na kitendo alichokifanya? Au ungepotezea tu iwe kama ajali na ajali jwa watoto wakati wewe mzazi unafaidika Kumbuka: Mwenye duka hajaona kilichotokea
gerry__patrick
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 18:09:20 GMT
Music
Download
Comments
𝓜𝓞𝓑𝓑𝓨 𝓑𝓞𝓤𝓣𝓘𝑸𝑼𝑬 :
kwel noma kwa mam apo🔥😁🥰😳
2026-09-18 17:23:31
0
my Heart ❤️ :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL] m wanguu alichukua ndz sokon
2026-09-19 08:36:33
0
smile😇 :
nipoteze mda kurud mm[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 10:37:35
0
rahma Fish Point :
Kludisha
2026-09-19 07:32:33
0
my s@rah❤ :
cwez kurudish kwan me ndo nimechukua kwann niingilie kaz ya mtot 😂😂😂
2026-09-18 08:18:29
134
Ney :
mission fail
2026-09-19 16:58:42
0
saLi gifted :
mbona natafuta watoto wengine 7 maninja kama yeye[Tears of joy]
2026-09-18 11:21:13
23
Chif Ngote Classc :
deal done
2026-09-18 07:46:32
0
shazzy 2009 :
mimi ninge mbeba mwanangu kila napoendanaye ilianipe matokeo😂😂
2026-09-18 13:33:49
20
Lilianne🙈 :
kwanz n nn hiy
2026-09-18 06:33:53
28
Jk & V dear :
😂😂😂😂me siku nzima ningeshindia apo naend narud
2026-09-19 12:57:28
5
FRESHBOY :
watoto ni malaika na huyu ndo malaika mwenyewe sasa🥰🥰
2026-09-18 14:59:39
13
Cute Vibes 💃🥰 :
hukusiyo tazania lakin ndug zangu nawajuuu nyiie 😂
2026-09-17 21:39:27
27
Rebeca loy :
ningempongeza kwa kazi nzuri [Heartwarming]
2026-09-18 13:18:02
1
Wema :
hiy ni zawad kutok kwa mungu bhn 😁😁
2026-09-18 08:02:54
8
Vee🦋 :
Ingekuwa ndo namna yakununua vitu vyangu dukani no money no customer service just me and my kid
2026-09-19 09:34:03
1
ejucescadar ❤️ :
Ana akali sana mwanangu ananisaidia majukumu
2026-09-18 19:11:34
1
maryam💙🤍 :
tamshkuru mwanangu😂😂
2026-09-18 11:05:46
3
弗兰克·楚瓦 :
hamuwezi kujua kama ni Duka lake alikuwa anamuachia mtoto mwingine mkubwa auze yeye aende kwenye shughuli nyingine, sio kila mtu ni mteja
2026-09-18 09:25:57
6
Dotto rostam ✅ :
Mtoto t anaelewa mamaake ninavoanhaika kwanini asinisaidie
2026-09-18 16:51:22
2
GlorySaria :
naviweka nyumbn afu narud ili achukue tena vingnee😅😅😅
2026-09-19 10:55:18
1
Me💦 :
uyo mama cy w dar
2026-09-18 08:04:56
2
Ms p ❤️ :
Mimi so mwema
2026-09-18 10:22:28
3
skoyo Naomi :
narudisha vitu vya watu
2026-09-18 09:18:08
2
aiem fetty👌 :
Huyu malaika
2026-09-18 08:17:44
1
To see more videos from user @gerry__patrick, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.