jaman huyu kaka anaimba hadi rahaa ngoja npate hela kwanza huyu anatufaa kufikisha ujumbee😆😆😆
2026-09-18 06:54:42
16
Fatuma Rmadhani :
unaimba vizuri vepe kuna mmja kasema eti soda haina gess nikweli?
2026-09-20 06:53:22
1
Mo'oh Brand tz :
kaza ww dogo
2026-09-18 04:41:04
6
phier 0ne :
mzee wa ngengaa nampendaa veep
2026-09-18 17:06:17
4
shamylove :
yani nandy kaenjoy sana kwenye ino sherehe adi raha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 14:06:44
3
Abb zaroo :
soda Ikwisha gass
2026-09-18 17:32:04
1
NASRA TZ :
king of kibao kata [Heartwarming]
2026-09-18 13:49:58
3
Subira Chitswache :
hii nyimbo naipenda
2026-09-18 06:45:31
5
ft :
wacha wee kakaa 👌🥰🥰🥰
2026-09-18 17:35:43
1
Yana😍 :
Mzee wa ngenga unajua bn 🔥❤️
2026-09-18 10:58:15
4
Unnay ✌️🥰 :
mzee wa ngengaaaaa
2026-09-18 12:53:03
1
Evo antomigo :
🥰🥰 unaweza broo
2026-09-18 01:17:09
1
Mashatz🇹🇿 :
Aweeee 😁😁😁😄😄 sijibani mimi
2026-09-18 06:54:58
1
joy queen 👑 :
nandy umependez
2026-09-18 19:07:04
1
linahraphaelu michu :
Nakukubali kaka una shoo mbovu kwamahadhi ya kwe2 tu unabaya na kuvaa unajuwa muonekano unao nakubali sana mungu akuzee sanaa yako na akupe maisha malefu kaka 🙏
2026-09-18 17:13:29
1
wazeni :
daaah
2026-09-18 03:11:05
2
Yaumu Juma :
😂😂😂
2026-09-17 19:59:51
2
asulumun :
upo
2026-09-18 08:55:18
1
Zenny Kyalos :
Taarab ina Raha yake banaahh🥰
2026-09-18 10:51:21
1
nuraty :
🥰🥰
2026-09-20 11:30:45
0
Kibabake :
Una sauti Mashallha
2026-09-19 18:10:30
0
Asha rajabu :
unajuaga kubaruza san wewe🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-19 17:11:36
0
user6671083571963 :
penda sana
2026-09-20 19:43:12
0
fayrisky :
uliweza kaka🥰🥰🥰
2026-09-18 10:51:26
0
To see more videos from user @ngenga_family, please go to the Tikwm
homepage.