@paza_sauti_media: Kijana Ibrahimu Said Kitundu, Msanii chipukizi maarufu kama Kitundu, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumfanyia mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita shambulio la aibu. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amesema Kitundu amehukumiwa baada ya Mahakama kumtia hatiani kwa kosa hilo. Itakumbukwa, Machi 22, 2026, mtuhumiwa alimchukua mtoto huyo hadi kwenye kibanda cha filamu kilichopo Mtaa wa Nyerere na kumlazimisha kumnyonya uume wake kwa lengo la kujifurahisha kingono. Baada ya shauri hilo kuendelea mahakamani, Kitundu amepatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela.

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 18:19:01 GMT
315685
11346
596
2358

Music

Download

Comments

msnaah29
Ms naah🥶 :
muongezeeni iwemaisha
2026-09-18 09:20:00
277
user5725230723814
@rahmababy358 :
naona ingekuwa maisha kabis
2026-09-17 20:49:41
98
sulesh.123
sulesh_tz :
@s.h.a.i.t.h
2026-09-18 17:10:31
0
chuga755
chuga :
huyo mtoto anasemajee
2026-09-18 11:50:31
33
fatma.madina8
fatma madina :
mbona kidogo sana kwanini asipewe cha maisha jela
2026-09-18 13:42:59
48
mariyamu376
mama zakia :
maisha uyo
2026-09-18 10:50:34
29
mlenoluis
mleno luis :
miaka 4 ilikuwa inatosha kabisa kwa kosa ilo miaka 20 jela kosa dogo ivo hakika kunatakiwa kulekebisha shelia zetu
2026-09-18 10:10:05
51
agnesnuru
Agy cute🙅‍♀️ :
Jamn mbn kama naona dunia imefika mwisho😭
2026-09-17 20:33:16
71
stephano8186
stephano :
siyo kila kilicho ripotiwa ni halisi,elewa hii ni dunia,omba yasikukute.
2026-09-17 21:32:33
56
officialrompajayma
Official rompajayma :
kwa uume wenyewe unasemaje kuhus hil
2026-09-18 12:38:05
23
mapallangyo
valleryhumphrey :
Kwann hawajaukataa jamany😩😩
2026-09-18 11:16:55
14
western_prince
🦁CLEVO KHAN🇹🇿 :
Toka October 29 hii haipo saw
2026-09-17 21:42:46
1
salaam.tz8
Salaam.Tz :
20 yrs midogo sana
2026-09-17 21:19:49
17
raymondmosha
raynation :
content creator
2026-09-18 18:49:57
0
bahatimatiasi250
Bahati Matiasi :
mmmmmh
2026-09-18 17:44:24
0
chriss_tz8
C._.J :
Ila saidi😂😂🙌
2026-09-18 13:14:29
0
hawa.yohana1
Hawa Yohana :
sasa kwa nini miaka isiwe 32 jaman
2026-09-17 21:02:13
8
alafatikwido
kwido master official :
hello Tanzaniaaaaaaaaaaaaaa😂
2026-09-18 10:38:15
0
mdode.one
MDODE ONE :
20 jamani huruma sana
2026-09-17 21:52:40
7
christian.daud65
Chris :
kwan mtoto anaaemsje
2026-09-18 10:37:03
5
limh.lizzy
limh.lizzy🦋 :
hii nchi kun sehem imetobok😳
2026-09-17 20:31:48
22
waydahaji
waydahaji :
subhanallah
2026-09-18 11:25:05
5
mrsme773
🫧🎀~nee~💕🫧 :
Kitundu si alikufa mwaka jana ama kitundu gan tena jmn
2026-09-17 20:52:18
25
user1022318128014
user1022318128014 :
😭😭😭 mungu nilindie wanangu maana Mimi nitapelekwa kufungwa jamani
2026-09-18 11:15:50
10
japharysadick3
Japhary sadick :
jmn ii tanzaniaa wtu wanapenda kujiamuliaa
2026-09-17 20:21:59
18
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About