@missvicky005: Watu hubadilika Tuweni makini mtu usijikombe saana kwa watu TUACHE SHOBOOOOO #raisiwagraduates #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #daressalaam #mapenzi

Raisi_wa_graduates
Raisi_wa_graduates
Open In TikTok:
Region: DE
Thursday 17 September 2026 18:22:33 GMT
13168
701
45
11

Music

Download

Comments

thejackson__8
Trinity clothing brand :
Mm sina team ila hamissa kafocus na mambo yake wambea wanamchokonoa sana
2026-09-17 18:32:52
43
shey_vipodozi
Shey_vipodozi :
umenkumbusha enz hzo tim wema dogiemastaa[Tears of joy]usipojipangantakupanga[Tears of joy]
2026-09-17 18:45:11
5
user3967513231186
@Neema :
alijitoa mia kwa mia nakumbuka
2026-09-17 19:33:07
5
moyern1
Moyern :
KIKUBWAA TUISHI KWA MIPAKA HAPA DUNIANI
2026-09-17 21:56:09
2
sak.bae0
SAK BAE🦋❤️ :
Ndo mana Nakupendaga Akili Mingi Mno🥰
2026-09-17 21:30:06
1
mariam.kongwa
Mariam Kong'wa :
💔
2026-09-17 19:42:15
1
use2026ww
🌸 :
2026-09-17 19:15:01
1
queeng32682
queen_lishe nuts🥰👌 :
ila carry alikua ana mtetea sana hamissa yan hamissa asiguswe carry atapambana na ww leo kamgeuka😂😂😂😂🙌
2026-09-17 19:21:24
7
believebelieve56
bella🌹 :
Mimi nilimchukiaga carry kisa alikua anamtetea hamisa anamchamba zari 😂😂 aliioh
2026-09-17 18:59:53
12
zulekhakarume
zulekhakarume :
mwenyew nimeumia nimemuonea huruma sana carrymastory nikikumbuka alivokua fighter kosa moja limebadilisha kila kitu mpaka AMEAMUA kufukua makabur ili kumkomoa inauma sana
2026-09-17 21:13:40
1
amina.ami81
aminaعبدالله ٩٩ami :
Carry nae mnafiki. Kama ukitaka kujua mwanamke mnafiki mfanyie kitu ukute kamti shia kumlipisha ka onesha kumbe nae hakua mtu. Ayo maneno yote. Yamemtoka ndio maana ukaaini mwanamke sio rafiki huyo hakuwa rafiki toka mwanzo carry
2026-09-17 20:55:37
2
cheso3
user3001222562165 :
sidhani kama umemfwatilia Carry ni muda sasa amegeuka kuwa heita wa Hamisa for the sake of hiyo mipaige yake, hiyo huruma gani unayomuone halafu unasema huna timu? fwatilia vizuri utaona
2026-09-17 19:44:52
6
lillie098
Lillie :
Mmmmh. [Snicker]
2026-09-17 19:45:48
1
ney_msabaha
ney_msabaha :
Hivi shoga angu nywele zetu zikupwa na kujaa 😂😂😂
2026-09-17 18:34:42
2
franciscadidas1
franshery :
❤️❤️❤️
2026-09-17 18:35:09
1
To see more videos from user @missvicky005, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About