Mungu nipe Moyo uliojaa utulivu hakiyamungu Du!!! we we we
2026-09-18 17:49:32
2
dgala :
mmmhhh kwa hali hii aseee . ngoja ninyamaze
2026-09-18 09:02:07
1
masiga jr :
kama sio mkeo inafurahishaa
2026-09-18 14:26:52
2
MR Devi ms+ :
Ambao hatuaelewi hawa tupo wangapi?
2026-09-18 15:15:30
1
stella maluli :
simrudiane tu
2026-09-18 18:44:46
0
lulu :
hahahaha wewe kuweza mimi niko upande wa mumewetu uyoo
2026-09-18 18:41:19
0
Abdallah Jumaanne :
Eeh mungu niaapushe na haya majalibu kwakwery
2026-09-18 16:29:54
0
user24024190945116 :
Hii ni maajabu 🤣🤣🤣
2026-09-18 12:39:47
0
mkilind :
yani.duuuu
2026-09-18 15:46:33
0
Major Kiddie :
Mrudishe kwao
2026-09-18 06:46:55
0
Shaha Malenda :
hatar sana
2026-09-18 08:22:56
0
mariam shaksi :
mm siwezi mludia mzazi mwenzangu.. kwani n ugombanish siwezi hata muona2 lamda kusalimiana na watoto wake..tena simu apige ya mume wangu mm tena kwangu sitaki bas..
2026-09-18 09:18:37
0
lady mishii :
Nilichogundua wengine wanakubali tu ndoa yapili ilikupoza maumivu Yakwanza lkn mwenye mji akirudi bado mambo yanaenedelea
2026-09-18 08:16:54
0
Edward Gicheru :
akikupenda. amekupenda. final
2026-09-18 07:59:04
0
HIDAYAH,,, WANGU :
nashukuru wangu akiwa karibu ananikata kucha na kukata nyasi msituni pia🤣🤣🤣kunipaka mafuta kwa mgongo
2026-09-18 15:11:32
0
Willy Paul :
ukisikia nashidwa kuelewa ndio hii xaxa
2026-09-18 09:17:00
0
Kibeki Ali Patrik :
Sio mimi
2026-09-17 19:34:07
0
@Juma jeba244 :
Una moyo wa uvumilivu kwa kweli
2026-09-17 20:25:45
0
Moses Kimathi :
Mzee amekaliwa na miti.
2026-09-17 22:32:35
1
To see more videos from user @christopher.mponji, please go to the Tikwm
homepage.