mm ni mnyama ila ht km yanga tukimfunga ila Bado hua Sina jeur ya kusema aje Tena mala ya pili mm ht tumfunge hua naona TU tukirudiana anatupiga kumfunga ni kumbahatisha tu
2026-09-18 02:13:24
10
John Emanuel :
“akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
”
— Ufunuo wa Yohana 14:7 (Biblia Takatifu)
2026-09-18 05:44:48
2
joseph shaban :
kwel brother 😆😅😂🤣🤣☺️
2026-09-17 21:07:50
0
Tespholy Mlewa :
bro umeongea point sana
2026-09-17 18:52:45
7
Khamis Abdul :
bora umeongea point aho wengine ni waongeaji t2
2026-09-18 04:44:29
2
gb :
Simba kumfunga Yanga ni ngumu sanaa,kimsingi ni kuchukua tahadhari tu.Wale jamaa wanajua kucheza mechi yetu asee😁
2026-09-17 19:42:10
8
ALLY kama 😎😎 ALLY :
mpira unajua kaka
2026-09-17 21:21:05
1
Emanuel6 :
brother wew hukulupuk na matokeo unajua mpira 🥰🥰🥰
2026-09-17 21:01:54
5
Ashura yassini092 :
unakili san🙏🙏
2026-09-17 19:36:59
5
mack clever :
kweli na hich unacho kizungumza ni chaukweli sana father
2026-09-17 21:42:52
5
dee_@🎶 :
waache wana simba wajdanganyee kusema yanga mbovu
2026-09-17 19:42:29
4
uhakika kama wote 🦥 :
wapenda soka gonga like
2026-09-17 22:04:45
2
Bray J :
nimekubar malaika mda mwingine ukwel usemwe tuachane na ushabiki tuongelee football
2026-09-17 21:40:06
2
sergesnijimbere :
kwel kaka wambie
2026-09-17 21:23:27
1
Stanislaus Mgimba :
wewe ndo mahabiki mwenye akili timamu .penye ukweli kuwa mkweli
2026-09-17 19:30:18
2
Daniel shao :
Wewe ndo unaakili kwa upande wa mashabiki wa Simba,waambie ukwel wasubir tar 10,ndo waongee
2026-09-18 05:51:07
0
Tonykiller810 :
Uyo nd anae jua mpira💯
2026-09-17 21:42:36
1
user5340384326628 :
wambie wenzio hao
2026-09-18 05:15:06
0
Hawa mohamedy :
𝗎𝗇𝖺𝗃𝗎𝖺 𝗆𝗉𝗂𝗋𝖺𝖺 𝗄𝖺𝗄𝖺 𝗌𝖺𝗅𝗎𝗍𝗂
2026-09-18 05:50:49
0
samia chitanda :
🤣🤣🤣🤣🤣 simba wote wangekuwa hivi mwaka huu wangepata ubingwa
2026-09-18 06:07:18
0
Omary Bopary :
nikweli wewe ndio unaakili
2026-09-18 05:47:35
0
@nautica¿ :
2026-09-18 05:54:47
0
jacklinejoseph685 :
kweli kaka baadoo sana
2026-09-17 19:47:04
0
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm
homepage.