@seabird38: #

Sea Bird 🔹
Sea Bird 🔹
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 17 September 2026 18:52:32 GMT
427590
50778
347
4223

Music

Download

Comments

samn.fidelity
Samn Fidelity :
*"Kutoroka na title deed after tumekosana na familia,is still on my bucket 🫳😄
2026-09-18 19:36:09
651
patoh814
PATOH🇰🇪 :
kuna mtu ameambiwa song title ni MAHOYA by SHIRU wa GP sijafurahia 🥹😭😂💔
2026-09-19 01:25:02
255
colkip22
🖤Aysher🖤 :
alafu kila mtu ananyamaza 😂😂😂😂
2026-09-17 19:20:14
405
bar77619
🇰🇪𝑩𝑬𝑵𝑵𝑨𝑹📸👑 :
Mh mzae alinipiga ngumi pombe ikaisha kwa mwili😂
2026-09-18 09:31:18
326
cassykeshi
cassy♥️keshi :
babangu ashai nigonga kofii nikaskia tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[Crying][Crying]
2026-09-19 08:07:16
56
brianochieng14
Brian Ochieng :
song title please
2026-09-18 18:33:36
92
adriana.bob0
Addih karteloh :
😁😁😁mie nishai pigwa na nyundo
2026-09-18 17:36:24
43
emilyatieno3970
Mschana wa Alice🥰 :
Mm nshaichapwa umbrella ya shingo ju ya kucelebrate tyme uhuru aliwin😂😂😂
2026-09-19 18:00:43
7
mcjay036
MC JAY 254 :
story ni yako bro endelea[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 00:05:31
5
joylybwakc4
mercy🇨🇦🇰🇪 :
I need friends 🥲
2026-09-18 11:59:45
40
clarah795
🦋clarah🦋 :
haukuita Mosiriaa😅😅
2026-09-19 14:39:29
7
ceowakola
C.E.O@wakola :
kumbe tuko wengi😅😅
2026-09-18 12:49:43
25
adar.ke
Adar KE :
Hizo memory zenu mimi kwangu ilikuwa kawaida zangu,sasa sijui hata ni gani nafaa kushare nyinyi.Mimi niligrow Afghanistan na colonel lieurtenant major general Oyoo.
2026-09-21 08:25:26
14
mkenya.animal.feed
MkA maina :
Mimi nishaawai gongwa na sufuria ikanikata mguu. mum aliniambia kufa nizae mwingine. still in my mind
2026-09-20 15:45:24
14
kelly_thee_lastborn
♎💌JAHRAM K🌎 :
Kuna siku mzae alikuwa msick nilimuomba niende kucheza na wenzangu akaniruhusu "Enda ucheze na nisikuite mara mbili" hiyo time mathe hakuwa ma area.Nikiwa nacheza nilikuwa naskia tu kama ameniita,nikienda anasema 'naungukhila' hii inaitwa hallucinating kwa kimombo 😂😂.Nikarudi zangu kucheza nikaskia hiyo sauti tena nikajua ni akili inanidanganya kumbe this time it was real,kurudi tu kwa nyimba hivi alinitia bare mkojo ukatoka bila kujua 🤦 but nampenda tu anyways 😔😹.Rest in eternal power sir 🫡😭😭
2026-09-19 16:36:55
10
langura5
Engineer Kim Arap Langura :
Niliwai pigwa kofi usiku saa mbili nikitoka kuleta maziwa kitu niliona ni sparks ya yellow the memory is still fresh😂
2026-09-19 07:56:31
16
daisyk942gmail.com
D🥷K 🇺🇸✂️🇰🇪 :
alikuwa next sindio 🫴😂
2026-09-18 06:37:59
13
patoh814
PATOH🇰🇪 :
Boss wacha ku-scroll Niwachie hata Like pekeake ❤️😂
2026-09-19 19:10:45
81
young.ray24
young ray :
hii nayo itanasa wengi
2026-09-18 11:11:46
5
billtate
Bill tate :
hata kama wewe ukiona next of kin anapewa trailer na ikikufikia sasa
2026-09-18 10:05:24
11
meshmasika
.....aNiNi.... :
usiseme man ......mi hata nilikuwa naona kama naonewa
2026-09-18 17:16:52
6
mystic.man263
Mystic Man :
I vividly remember the day 😩😩😩 Tuesday majioni 12/3/2020 ilikua mbaya guys
2026-09-18 22:33:21
6
anjirose0
anjirose0# Arsenal lady queen :
alinipiga hio kofi mii nae nikarudishia lastborn wake😏sipendi.kuambiwa mimi😩😩😅😅nika lala kwa jikoni guys🥹
2026-09-18 10:55:16
8
undisputedlewii49
Ni lewii🫴 :
ashai nipiga sweep juu ya kuiba chapo nikazirai🙆😂
2026-09-19 23:16:05
4
patoh814
PATOH🇰🇪 :
huyu wangu amesema hii comment isipo pata Likes Ananipea na Scorpion kadunga 😂💔
2026-09-21 17:32:32
4
To see more videos from user @seabird38, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About