kama niivyo me sipendwi xas jamn me wang mpk nimtaft mwenyw
2026-09-17 22:29:21
11
Naiza cute🥀🦋 :
me stak kupendwa bhn nataka kupewa ela😂😂
2026-09-18 18:30:45
5
chistowelunalaila :
ninachojua mm nina uhakika kua ananipenda hayo mawasiliano ya kila muda wala sio inshu kwangu 😁😁
2026-09-18 15:28:20
2
rey qeen💞💞💞 :
Kumbe napendwa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-18 19:33:12
1
Rey ❤️😍 :
mapenzi yaxhanibwaga😂😂 yooh🙌🙌
2026-09-18 12:59:49
1
marisaa :
mm sijui hanipendi maana hanitafuti mpk nimtafute mwenyewe nikimuuliza mbn kimya anasema alikuwa kazini .... hanitumii sms ya usiku mwema wala asubuhi njema
2026-09-18 07:08:13
2
Mariam mavunde :
me wangu hata kama unaumwa ile pole tu kwake ni mzg
2026-09-18 17:14:34
1
Joah@ :
napendwa jmn
2026-09-18 09:36:05
2
jr :
km ndo ivo bx napndw kwl bro
2026-09-17 20:18:59
2
MomAlphaxad🥰 :
me ndo xpend maswali,napnd alioko bize
2026-09-18 09:19:15
2
miss meme :
mbona mnanichanganyaaa😂😂😂
2026-09-18 11:31:43
1
sagaladaughter :
basi sisi wengine basi tu tutulie sms ya Jana usiku Ina jibiwa jioni
2026-09-18 14:40:34
1
papaaadangote :
kwelikabisa
2026-09-17 20:18:01
1
lastborn🥰🥰🥰 :
nisawa ila kuna vikwazo sana kwa kuwa pamoja nae daaah inakata mood sanaa
2026-09-18 11:28:52
1
fetty :
kwel kaka
2026-09-17 20:18:19
1
SALOREE :
kweli kabisa
2026-09-17 21:20:18
1
zuuu tz :
walai Mimi kumbe beby. ananipenda kweli
2026-09-18 08:00:59
1
Esther Tumain :
mim apo kwenye mda sas apanilipo ninakut atali nanina mahusiano😁😁
2026-09-18 20:48:52
0
Eliza 78 :
mmmh 😁😁😁😁
2026-09-18 20:22:34
0
babe glow😘❤️🥰 :
sipendwi🤣🤣
2026-09-18 19:35:13
0
Monica mbazi :
mh mi nlishajua sipendwi mda na sna uhitaji wa kupendwa tena
2026-09-18 19:43:29
0
To see more videos from user @siliyamaisha2, please go to the Tikwm
homepage.