sikukuchagua kwasababu ya kile unachoweza kunipa au kunifanyia ,wala si kwa sababu ya mwili wako au jinsi unavyoonekana[Red heart]
nilikuchagua kwasababu ulirudisha tabasamu langu,ukanifanya nielewe jinsi upendo wa kweli unavyohisi. ulinifanya nijiskie salama,kupendwa na kujaliwa.wewe ni amani yangu,na nitashukuru milele kwa kuwa na wewe katika maisha yangu [Heartwarming][Red heart]