@dizandapaul: DUH_ SHARIFA BILA UOGA AFICHUA MAZITO YA MAMA YAKE ABAYE NI RAFIKI WA SAMIA 🙄 - Sauti ya Dunia TV (1080p, h264)

dizandapaul
dizandapaul
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 21:05:50 GMT
33467
709
43
90

Music

Download

Comments

maryjimmy320
Mary jimmy :
mmm pole sana
2026-09-20 12:59:10
1
irene.komba64
Irene komba :
du sharifa noma sana nmecheka sana hadi kwenye ndoto.nacheka tu
2026-09-22 15:05:13
1
madenge2020
madenge2020 :
😂😂😂😂🥰🥰 Sharifa
2026-09-26 04:27:10
0
ipyanavictor
ipyanavictor :
sarutiiii sana dada umetoa ya moyoni
2026-09-18 17:49:14
2
hussenishabani357
husseni shabani :
duuuu atali
2026-09-19 05:28:34
0
olimpya.david
DAVID BALLENCIAGA :
sawa sawaa
2026-09-18 09:13:25
0
salehisimbula
salehisimbula :
it's over
2026-09-18 13:49:04
0
helen.peter467
Helen Peter :
pole sana
2026-09-18 13:13:09
0
jubilate.shao
jubilate Shao :
Kweli kabisa!
2026-09-18 13:12:16
0
ash_kid4
Shansee Nkya :
Leo kweli dada Sharifa umekasirika
2026-09-20 22:06:56
0
user5184551034293
mi :
sasa matusi ya nini
2026-09-21 17:07:56
0
imani.ya.mtu
Imani ya Mtu :
oy huku mwisho nimecheka sn hy maisha ni yetu najua ni hasira tu wala huna kosa apo punguza tu hasira duh
2026-09-22 05:19:48
0
zenazzvmcz2
lofti :
Mhhhh! Jamani mbona hivyo imekuwale leo???
2026-09-19 04:35:08
0
mama_feisaly
🦋HILDER-GRACE🦋 :
2026-09-18 05:13:06
0
subira0917
subira :
ya Dunia ni mengi ila ni kupuuza na kusamehe kama mungu ana vyosema na sisi mungu tunamukosea lakini ana tusamehe
2026-09-24 07:52:38
0
dioniz.daniel
Dioniz Daniel :
dada. kila. siku. nakuombea. kila. siku. unatuelimisha. sana. unatufubdisha. sana. usisamehe. watu. wakatili. kaa. nao. mbali
2026-09-19 21:55:54
0
salma.ntandu
Salma Ntandu :
niko upende wa sharifaa ni stor yangu kabisaa ni baba angu kabisaaa rip mzee wangu
2026-09-19 23:31:41
0
subira.shabani.mbwana
subira shabani mbwana :
jamani ningejua kuna matamko ya matusi nisinge hingia nihisikilize nifundisheni kuifungia hii a/c kwangu mana aina nizamu na mahadili ya uwafrica
2026-09-18 07:03:11
0
user61785942133664
user61785942133664 :
uko vzr
2026-09-21 07:52:49
0
kapela.roja
Kapela Roja :
saruti dad👍👍👍👍
2026-09-18 06:39:49
0
veronicampangala4
Veronica Mpangala :
kumbe una matusi ivyo jamani
2026-09-18 08:47:37
0
dalalimoyo
TANZANIA Dar es salaam agent :
nyumba viwanja mashamba yard beach
2026-09-19 05:01:38
0
user1506177815444
mbu :
Umefanya poa kutoa ya moyoni ila Duh! hayo matusi yanatisha.Nimeona aibu baada ya kuplay video Yako ikiwa karibu na babamkwe
2026-09-19 11:38:32
0
z_almandhry
Z_AlMandhry :
weh kumewaka
2026-09-20 22:21:07
0
user3335240821531
WAKUJA WAKUJA :
Da sharifa umeanza vzr ungemaliza tu vzr haikuwa na haja ya kutema matusi na bado meseji ingewafikia wahusika
2026-09-18 05:45:00
0
To see more videos from user @dizandapaul, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About