@lucck56: LUCK 56 BRAND BEI ZA BIDHAA ZETU T.SHIRT ELF =25000 JEANS ELF = 25000 PULLOVER ELF =35000 SHORT HOOD ELF =30000 SKULL CAP ELF = 20000 CAP ELF =20000 SOCKS ELF = 5000 WELCOME SHOP MAGOMEN MAPIPA CALL /whatsup +255716143634 /788624534 MKOANI NA NJE YA NCHI TUNATUMA delivery 🚚 💪 #tanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼
LUCK 56
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 21:33:34 GMT
Music
Download
Comments
super nyota :
hii ngoma neyba aliwafunika wote
2026-09-18 06:20:31
223
Abby mbuzi :
NEYBA KANENEPA MAZEE
2026-09-18 05:44:48
118
BALSAM -J-MALINDI :
hivi kwanini alikiba kashindwa kumsign huyu dogo kings music
2026-09-18 06:35:39
61
Montana_sportsweartz :
neyba aliua saana hii ngoma
2026-09-18 06:56:37
84
CTv :
ooh huyu si yule jamaa wa wimbo uje
2026-09-18 11:30:47
38
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-18 13:35:03
7
Maliki Mwalongo :
Yani wakat inatoka hii nyimbo nlikua nmepgwa tukio 😭😭😭 mkawa kama mmeniimbia sito sahau
2026-09-18 07:05:21
19
Ke Boe :
wewe ongeza sauti haraka sanaaaa
2026-09-18 11:31:03
6
Mkombozi Jahazi :
dahh ney ba azekii
2026-09-17 21:36:43
5
pendo🌸🇹🇿 :
bora tu nimemuona Neyba nilikuwaga najiuliza sana umepotelea wapi😁❤️❤️❤️
2026-09-18 08:28:54
23
Lavtasha_Kivuli :
neyba nichapie ahadi ya kweli naikubali sn
2026-09-18 11:48:28
13
Walter Chilambo Mchelsea :
goma langu la muda wote huku kenya
2026-09-18 16:18:45
6
salim :
neyba anajua mpk leo 😎
2026-09-18 08:16:38
8
chimbo electronic :
neyba 🔥🔥 jimbo kama limetoka jana tu tunaruka nalo sana 🫡
2026-09-17 21:51:43
7
Jallana R :
Sema mwenetu Neyba hii Verse uliichapa kiukatili sana mwana.🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-18 07:00:09
9
Febron Sanga :
kitu nafurahi ni kuona artist wa muaka ya nyuma kidogo wapo na muonekano mnzuri licha ya kutosikika kwa industry kwa muda mrefu🙏🙏🙏
2026-09-18 14:58:20
7
☠king👑daddy🦾🔥💯☠0g :
neyba babaaaaa rudi basiii ujeeee
2026-09-20 14:32:26
4
misszaynab🧿 :
Nyimbo yangu pendwaaaaaa 🙌🙌
2026-09-18 07:08:35
2
Jenga nyumba sasa :
hakuna siku nimefurahishwa na TikTok aitazidi Leo kwa clip hii
2026-09-18 18:49:29
2
king👑 usangu tz :
neyba🫡
2026-09-18 07:31:50
2
margaret pilly ❤ :
my favorite song
2026-09-18 11:32:23
2
tina :
Sasa alie wakataza kutoa ngoma nani???
2026-09-29 17:25:42
1
west zone :
ney ba hazeeki duuh
2026-09-18 21:07:37
1
master. _.brandy :
uje huyo ndo neyba baba unatosha mie mkenya ila unatisha
2026-09-18 17:15:45
1
elias kazumba :
NaNATAMANI NIJE KUKUONA TENA KQWNY UBORA WAKO WA zamni
2026-09-18 10:15:53
1
To see more videos from user @lucck56, please go to the Tikwm
homepage.