@wamwellness1: #wamwellness #usa🇺🇸 #afyauzaziwanaume #tiktokviralvideo #menfertility Korodani moja ikiwa imevimba na nyingine ikiwa kawaida, je mwanaume bado anaweza kumsaidia mwanamke kupata ujauzito? 🤔 Jibu ni ndiyo, inawezekana, lakini inategemea chanzo cha uvimbe na hali ya korodani nyingine pamoja na afya ya uzazi kwa ujumla. Uvimbe wa korodani unahitaji uchunguzi wa kitaalamu ili kujua chanzo chake. 📌 DISCLAIMER: Maudhui haya ni kwa madhumuni ya elimu na uhamasishaji wa afya tu. Hayakusudii kuchochea maudhui ya kingono wala kuchukua nafasi ya uchunguzi au ushauri wa mtaalamu wa afya. Ikiwa una uvimbe, maumivu au mabadiliko yasiyo ya kawaida, tafuta huduma ya afya.

WAM WELLNESS
WAM WELLNESS
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 September 2026 23:47:17 GMT
130
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @wamwellness1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About