@snashtz: Nimeongea kila kitu kuhusu #jetour T2 ,ndio inafanana na Defender lakini usije kudhani labda T2 ni Hard-core off-road HAPANA. #techinswahili #jetour #snashtz
Snashtz
Region: TZ
Friday 18 September 2026 00:00:47 GMT
Music
Download
Comments
Officialchescotz..! :
mchina Ka copy bobi ya defender new model ya mwingereza
2026-09-23 10:47:40
6
lvcactus.. :
Tunaoangalia baada ya kuona video ya creev
2026-09-23 11:33:51
27
fred :
muonekano wa nevender
2026-09-23 06:35:31
12
UNIQUE JEWELRY :
Ikiaharibika vip Vifaa Na Mafundi Bongo wapo kwel Au Bla blaa tu Wataforce
2026-09-23 09:22:18
2
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 🇿🇦 :
Hizi zinatumia Mafuta ?? au umeme ??
2026-09-23 09:22:01
4
sufyan~ :
bora RANGE ROVER NEW 🆕 MODEL
2026-09-18 14:10:12
5
N@n@_255 :
ukimaliza hyo naomba Nissan note e13 ya 2021
2026-09-18 10:15:36
10
Anwar_thiago :
ya umeme iyoo
2026-09-23 08:21:01
3
MR KILAKANDILU :
apo kwenye ulefu wa mita nne sio kweli bhn😂😂
2026-09-23 10:36:45
0
jose_masanja :
unazijua chery ww
2026-09-18 11:51:18
11
Collin Laizer :
ni gar ya vibe!
2026-09-23 10:42:20
1
Whos.innos :
swali linabaki kweny vipur
vinapatikana?
2026-09-18 18:17:51
2
lukmanomar810 :
sorry sjui nisema kma ushaur lakn nisem pia siwez kukushaur but kma sjui ni nn ?? ungepunguz kuenda speed kdg wakat wa reviw
2026-09-18 05:46:33
3
Bably :
nicee 💕
2026-09-18 01:09:32
2
🇹🇿₩illiums (6️⃣1️⃣1️⃣ ) :
ni kali na veep bei yake
2026-09-18 07:38:13
3
Ones_Brian :
fanya na grenadier
2026-09-21 08:33:38
1
Casry Outfits👗🌹📦 :
2026-09-18 05:54:57
1
wizrobby 🌟🌟🌟 :
umefanya nikipata ela ni nunuwe noma san
2026-09-18 09:51:31
2
Kingdom :
unajua had unajua tena
2026-09-19 15:52:14
4
Man man :
Jetour inafanya gari zingine zionekane outdated Yan takataka 😂. watching from Tanzania East Africa
2026-09-18 06:08:13
2
🤍Kp Ladies Fashion 🤍 :
mkuu fanyia review ile devielet phantom
2026-09-18 09:33:20
1
man_key_shooter :
Ata sisi tunazipenda sana uku japan kumamoto 😁
2026-09-21 06:46:43
1
King of spear parts :
fanya na jetour g700
2026-09-18 14:04:06
1
𝗦𝗻𝗲𝗮𝗸𝗲𝗿 |𝗛𝗮𝗻𝗱𝗯𝗮𝗴 :
ila mchina🔥🔥
2026-09-23 12:17:54
0
Unique Mnek@ 🙃😚 :
steer yake sio nzuri
2026-09-18 18:56:45
0
To see more videos from user @snashtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.