@icflays_official: Fayma alimchukua balqis bila kumpa taarifa wanaendana wapi, balqis alishtuka kuona fayma amemleta katika kituo cha kulelea watoto yatima, kituo hichi ndicho kituo alicho kuwa ana lelewa balqis kabla ya kuchukuliwa na fayma 🥹 Balqis alidhani fayma amemludisha mahara hapo kwajili ya kuishi hapo lakini ukweli ni kwamba fayma alimchukua balqis kwaajili ya kuja kuwasalimia marafiki zake alio kuwa anaishi nao hapo kabla 🌟 Fayma hakwenda mahara hapo akiwa mikono mitupu, Mwanadada huyo alibeba mifuko ya chakula pamoja na mahitaji mbali mbali, Jaydan alimuuliza mama tuna muacha dada balqis hapa mimi nitacheza na nani, Fayma alijibu hatujaja kumuacha tumekuja kuwatembelea na kuwa Julia hali marafiki zake ❤️ Hata hivyo balqis kwa hisia alieleza alikuwa ame wamisi sana marafiki zake lakini alikuwa anaogopa kumwambia mama yake ambae ni fayma, lakini kumbe fayma alisha jua haja ya balqis, fayma anafanya yote haya sababu yeye ametoka katika familia ya kawaida hivyo anajua kumsaidia mtu kuna maanisha nini 🫡
ICFLAYS
Region: CD
Friday 18 September 2026 02:24:25 GMT
Music
Download
Comments
mnapenda kujiamulia mambo someni mpaka mwisho 😂😂😅
2026-09-18 11:10:02
319
Eunice mahega :
kwa nn xx kam aliamua kukaa nae kwa nn amrudishe
2026-09-18 09:02:05
181
meddysmile13 :
watanzania wengi tunapata hasara kwa kutopenda kusoma habari yote tunaamini kichwa Cha habari ni habari kamili
2026-09-18 14:36:45
87
Nancy♥️ :
Nimegundua watu ni wavivu kusoma😂😂
2026-09-18 20:15:34
125
💫Fãtéémãh🇰🇪🇺🇲🦋 :
they are going to the comment directly they don't read😂😂😂😂😂
2026-09-18 20:18:13
17
loveness tz :
mungu akulinde dad fayma
2026-09-18 08:11:37
53
Mary :
Muwe mnamalizia kusoma caption
2026-09-18 10:35:21
84
Mariamu Shaban321 :
duh nilikuwa nimeshaanza kulia Kabla sijamaliza kusoma
2026-09-18 11:46:47
19
ICFLAYS :
Kama ime kugusa share please
2026-09-18 07:30:17
48
@cutemiih7 :
jaman tusome jmn tusome😂
2026-09-21 03:53:32
6
Chimamy T :
fayma co vizur kamfate upate baraka z Allah usiadaike n dunia dad angu
2026-09-20 08:39:17
11
NINOH BABY❣️❣️❣️❣️ :
najikuta nalia allah amzidishie huyu dada n amfungulie rizki inshallah
2026-09-19 06:08:53
10
Da jackie🌹 :
Me wananikera ambao wanakurupuka tu bila kumalz habar🥺
2026-09-20 16:50:09
11
@veaney🌹🌹🌹 :
Mungu akuzidishie fayma unapotoa
2026-09-18 16:05:05
6
happy konzo 06 :
kujiamulia mambo t naujasom mbaka mwisho
2026-09-18 19:53:55
6
P🌸R🌸I🌸S🌸C🌸A :
mungu akufungulie milango ya ridhiki dada fey😘❤️
2026-09-18 17:27:35
9
muona :
mashallah mungu ampe fahyma moyo huo huo mpaka uyo mtoto afike kwenye malengo yake inshallah
2026-09-18 15:26:06
7
hadij :
mungu amzidishie fay na ampe maisha maletu🙏🙏
2026-09-19 10:35:34
8
lyzejohn :
nilianza kulia kwanza🥺🥺
2026-09-18 06:47:36
6
Shakira A. Banobi :
Mungu azd kukupa roho ya ivo dada Fayma❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-18 08:22:07
12
Angel kids wear :
hiki kituo kikowapi
2026-09-18 07:53:44
5
Getruda Martine :
Kuna mashariti ngani kuchukua mtoto kituo Cha watoto nahitaji mmoja na mimi
2026-09-18 08:06:23
8
Gall chase :
nilikuw nshachkia mimi😂
2026-09-20 13:53:32
1
Rehmy.GPG 😎❤️🩹🥹🦋 :
msiwe mnatushutua basi khaa😂
2026-09-19 21:42:48
1
doque....💜 :
MUNGU akubariki fahyma
2026-09-18 16:02:52
1
To see more videos from user @icflays_official, please go to the Tikwm
homepage.