Nilijifunza Hilo kwa mama yangu🥺 she has a very soft heart & kindness till her last breath…rest in peace maah nmejifunza c kila mahali patahitaji huruma yako🥹
ndoman tunaambiwa tuweke boundaries sy kila mtu anapaswa kuonewa huruma
2026-09-18 08:07:04
5
Husseiiiin :
Wengine roho mbaya ishatushinda naweza taka kufanya ubaya nikaishia kuumia mimi mwenyewe. Allah anisimamie tu na atanilipaga yeye ila sintolipa ubaya
2026-09-18 08:55:55
1
Gado wizzy :
nimezaliwa nikiwa mwema ila tangu nipigwe matukio daah shekhe sahv ninaroh mbaya Simba akasubili
2026-09-18 06:25:12
2
omi g :
uko sahihi kabsa
2026-09-18 07:55:14
1
Bernice🌹 :
hakika‼️mashambulizi ni lazima kwasababu hata shetani apendi mtu atende wema‼️
2026-09-18 05:04:53
4
Aura Outfit :
kama kuna darasa la kuondokana na hizo Neema naombeni mnielekeze nikajoin aiseee nateseka mm nimechoka mnooooo kutumika mm[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-09-18 07:57:14
2
منصور البغوي :
ijumaa Kareem
2026-09-18 06:38:34
1
ayoub :
huo ndo ukweli kabisa
2026-09-18 06:16:36
2
user2580914911062 :
😭😭😭😭😭Allah atupe khusnil hatma yarraby
2026-09-18 07:02:09
1
Barbie535 :
Very true😔
2026-09-18 03:49:55
8
barakamichael73 :
ndo mm hapo sasa
2026-09-18 06:38:09
1
Abou Hanin :
Huu ukweli mtupu
2026-09-18 06:44:00
1
julity 😊 :
Mimi jamani adi kunawakati nasema au nimewakosea nakuta hakuna nikimtendea mtu wema wananiludishia ubaya ila basi tu
2026-09-18 07:21:53
3
jazila :
Aamiina
2026-09-18 06:12:39
1
Diana Ombock :
Kabisaa kabisaa 😌😌
2026-09-18 05:31:58
1
prettysheymaah :
Ndio wanao tuumiza😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-18 04:45:50
2
user458104523593 :
Sawa kbsa
2026-09-18 04:19:22
1
alisha :
nikweli kabisa
2026-09-18 04:22:22
1
Gnesnaturals :
Nina ushuhuda
2026-09-18 05:27:24
1
Luvboy_Msafi :
mbona kama ninalengwa mim??? 🤦🏿🤦🏿🤦🏿
2026-09-18 05:48:31
1
Fey50177 :
Nimeelewa sasa
2026-09-18 04:45:55
1
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.