@nacmedia: "Mvua inayokuja haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500 iliyopita na ndiyo sababu inaitwa Super El Nino - Mugisha Kyaruzi, Afisa Mfawidhi Hali Ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO) #nigeriantiktok🇳🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #Trending #tanzaniantiktok🇹🇿 #siasa #viral #wasafitv #juxpriscy #nacmedia #ethiopian_tik_tok🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹
jamani kweli mnashundwa kusema hata fungeni na kuswali
2026-09-18 16:04:38
1
tuse1 :
Miaka 500 iliyopita nani aliiona?
2026-09-18 09:50:46
4
KELVIN NJELA :
ok tupen pessa sasa maana pessa atuna
2026-09-18 13:52:40
2
Mercedes maresa :
ukiwaskiliza hawa nao hofu yamaisha inakupata em mtajua wenyew sisi tusalini tu jaman
2026-09-18 11:24:22
2
Silvano Lujegi :
miaka 500 iliyopita nani alirekodi?😳
2026-09-18 18:55:48
0
Akulina Kimario :
sisi tunamwangalia mungu ndo Kila kitu
2026-09-18 14:02:01
2
user35780877815680 :
Nan alikuwepo iyo miaka mia tano iliyopita ili asije iyo mvua jaman
2026-09-18 12:02:18
1
SYLVANUS B. J. SIMEO :
NAKATAA KWA JINA LA YESU LIPITALO MAJINA YOTE
2026-09-18 17:41:25
1
Rick_felicie :
mara miaka 100,mara 500,bado mseme 100000.mnatutisha sana. khaaaaa!!
2026-09-18 13:15:59
0
mamahaika2 :
mala 100 mala 150 😭sasani 500 duh nyie mtuambie tu kama ni gharika inakuja ili tujuandae kunyakuliwa
2026-09-18 09:54:37
0
DALALI MAKINI TZ :
ILA NIAMININI MIMI HIYO ELNINO INAYO ZUNGUMZIWA KWENYE KILA MEDIA ITA YEYUKA NA HAMTO AMINI MUNGU HAWEZI KULIACHILIA HILO ILA TAHADHALI NI MUHIMU.
2026-09-18 19:50:25
0
Martha Kelvin572 :
ishindwe kwa jina la yesu kristo
2026-09-18 18:56:20
0
samson barnabas :
mbona tunatishana?
2026-09-18 18:31:22
0
Hrithki Othman :
Mungu ataipitisha ,,msitutishe Sana bhana
2026-09-18 17:59:55
0
anna :
nani alikuwepo hiyo miaka 500
2026-09-18 18:04:35
0
Pili Mpinga :
Eee, mungu tuepushe hii mvua ya hatari
2026-09-18 18:17:36
1
kinyekile hardware :
Tatizo ninaroliona ndio mana hatuenderei kwa uharaka tunasoma ilituerimike rakini chakushangaza erimu BAADHI nikama buretu mtuanatuerekeza namna ya kujiandaa endapo mvua ikitokea bado watu wabishi hatamaisha ukiishitu kihirera utawambia wenzio wariotiboa wachawi🤔
2026-09-18 18:33:46
0
jackline simbila :
unazibua mitaro huko maji yakijaa yanaenda wapi?
2026-09-18 18:36:22
0
Nduli :
sasa nawenye smartphone wanunue batry kabisa!
2026-09-18 20:29:00
0
Mzee Wa Kurekebisha :
usinitishe
2026-09-18 15:16:48
0
Copacabana Lounge Kigamboni :
2026-09-18 20:26:36
0
Bruno Peter :
tumuombee Mungu atuepusheee kujiandaa si kitu
2026-09-18 16:19:19
0
Amour Amour :
Hiyo kitu hakuna bana tusitishane ss waislamu tunamuamini na kwa vile tunafanya ibada ya swala zote 5 hatuna wasi wasi kabisa kila kitu kitaenda sawa
2026-09-18 16:03:05
0
Naoo906 :
mara miaka 150, sasa nani alikuwepo miaka hiyo atupe ushuhuda,, chakufanya tutubu tuache dhanbi; hayo mambo ya mvua mwachieni MUNGU
2026-09-18 15:48:51
0
wambura12 :
achaneni propaganda mnapingana na Mungu yeye ndie mwanzo mwisho
2026-09-18 10:33:32
0
To see more videos from user @nacmedia, please go to the Tikwm
homepage.